flyn ryder
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 656
- 86
Ama kweli utoto ni kazi, mimi nimesoma St. joseph kwenye interview moja nilikutana na wanafunzi kibao kutoka udsm ,cha ajabu walikuwa na mbwembwe kibao,mwisho wa siku nilipata hiyo kazi baada yakuwabwaga kwenye interview nasikuwa namtu yeyote aliyekuwa ananifahamu kwny kampuni kwn mimi nizaidi ya mtoto wa mkulima, nakwass napiga mpunga wakueleweka.Endeleeni na upuuzi wakujadili vyuo huku watu wanaendeleza maisha.
Note: Uwezo wa mwanafunzi kwanza ubora wa chuo baadae
Mzumbe, OUT, KIU viko kundi gani?
We iite IFM chuo cha kata mi natengeneza cash in hand 900 kila mwisho wa mwezi.....kalaga baho
definitely very childish.hili jukwaa limekuwa uwanja wa watoto
ubora wako unaupima kwa kitu gani? je unawajua vyema graduates wa IFM?
wewe najua bado boom liko sasa jishaue kununua hutu tu vocha twa MB uishiwe mapema uone kama hukula nyasi
Duh kweli wewe ndo unaongea pumba! Kaangalie TCU Admission Guide, uone Cut off point ya kujiunga na baadhi ya kozi kwa vyuo mbali mbali. Unaongea mambo ya kizamaaaani wakati huo, wote tuliopata division one ilikuwa straight UDSM, MUHAS (by then MUCHS). Masalia walienda ARU (by then UCLAS), Mzumbe (by then IDM Mzumbe) na vyuo vya binafsi!
Hivi sasa mkuu,wewe na division one yako, unatupwa kokote tu, ili mradi umefikisha admission points kwa kozi husika kwa chuo husika!
hakuna tatizo ila tofauti ni kubwa kama mbagala na Los angels.thubutuuu! Nahic unaponda kwa kuwa ni private. Hata hivyo it is the largest private university in Tanzania. We nenda udsm yako na yule anaenda saut yake, kuna tatizo kuani?
Mzumbe, OUT, KIU viko kundi gani?
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata
kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI
kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE
#teamIFM ........Ifm kama man utd tu yani uipende usiipende utaiongelea tu.....Raha sana kila muda midomoni mwenu ifm tu
Usikalili bongo ni dsm pia inaweza ikamaanisha tanzania mfano mtu anaongelea wabongo haimaanishi wadsm inamaana watanzania mtoa mada yupo sawa,chuo kikuu cha kanda ya ziwa ni chuo cha kata over.Kumbe ww ndo mmiliki wa TCU nilikuwa sifahamu bhana hongerni xana xema ww kama mmliki wa TCU unayetoa rank za vyuo vikuu bora apa TANZANIA unaweza kuniambia mpaka sasa ivyo yvuo unavyodai ni bora apa bongo japo SUA ipo morogoro na sio bongo kama unavyodai vimelifikisha wapi taifa hili changa katika nyanja zote za kiuchumi,kijamii,kisiasa,kielimu na kiutamaduni Pia nilikuwa nakuomba ww na wamiliki wenzako wa TCU msome makala iyo chini ili mjue kazi ya elimu ya juu na sio kupanga rank zenu zisizomsaidia mtanzania aliye maskini uko vijijini wakati vyuo vya kuzalisha watatuzi wa matatizo ya jamii wapo na hakuna lolote lililofanyika na hao wasomi wa vyuo mnavyodai ni bora apa nchini zaidi ya kuwaibiwa watanzania .