mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Niliwahi kuleta uzi humu kuwa ukitaka kujua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nenda harusini..
Leo nimeona clip mtandaoni baba anamwambia binti yake kuwa ole wake siku alete kesi kwake kuwa mumewe amerudi saa nane za usiku...
,akaendelea kudai kuwa hiyo ni kawaida sana kwa wanaume,
Kichaa kapewa rungu...
Aliyaingea hayo siku ya harusi ukumbini kabisa mbele ya waalikwa mabibi na mabwana
Mzee wa ovyo kabisa huyu