Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ubebe majukumu yake na yako and yet anataka umnyenyekee.Siku hizi hamtaki wanawake wabebe majukumu ya uzazi na ulezi ila ya kuzalisha mali ndani ya nyumba [emoji26]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubebe majukumu yake na yako and yet anataka umnyenyekee.Siku hizi hamtaki wanawake wabebe majukumu ya uzazi na ulezi ila ya kuzalisha mali ndani ya nyumba [emoji26]
Naomba namba zakeMiaka ya Nyuma kidogo kulikuwa na binti mmoja mrembo pale mtaani kwetu, binti kutoka familia yenye uwezo (ya kishua).
Binti huyu wanaume waliogopa Kutoka Naye na pia hata kumtongoza kutokana na nyodo zake pia hata ukali wa baba yake kwa kuwa binti bado alikuwa anasoma.
Nilikuwa namfaham kwa kitambo kiref ila sikuwaza kuja kudate naye mpaka pale nlipokosana na mpenzi wangu ndipo nikamtongoza na yule binti hakusita kuwa nami kwani nilitumia uBornTown mwingi kiasi kwamba binti akaona she deserves a Man like me!
Binti yule nilimkuta Hajatumika maanake mm ndio mwanaume wake wa kwanza na nilimpa ahadi nyingi pamoja na kumhakikishia kumuoa!
Sasa Miaka imeenda imerud ni zaidi ya miaka sita sasa tangu niwe nae na ule wakati wa yeye kuhitaji kuolewa umefika ila kisaikolojia mimi sipo tayari kabisa.
Kwanini sipo tayari? Hizi Hapa sababu!
1.Binti Huyu ni Mzuri wa sura na umbo sasa nafikiri ukioa mwanamke wa aina hii ni sawa na kulima shamba la miwa karibu na shule ya msingi!
2.Binti Huyu Hajui Hustles, kwanza physicaly anaeza kutembea kilomita moja akawa hoi taabani.
3.Binti Huyu sijawahi Kuona Fikra yake Productive Hata Moja na ujuavyo mwanamke wa Ndoa anatakiwa angalau awe na Fikra Productive!
Mimi Nafikiria kuamua kumpiga chini kwa utashi wa Fikra zangu ila kama una la kunishauri Nishauri tu Huenda ikanisaidia Pakubwa.
Muwe na Usiku Mwema!
Afadhal umeliona ilo wavulana wengne sijui wakojeKutokana na maelezo yako inaonyesha hujui nini unataka kwa mwanamke, unaogopa mwanmke mzuri, wewe hujiamini. Unataka mwanamke hustle, basi wewe sio mtafutaji ni mbabaishaji tu unataka mwanmke umtegemee. Unataka mwenye fikra productive , basi wewe ni mvivu na mtegemezi wa kifikra.
Kwa sifa za huyo mwanamke mimi ndo napendaga wa namna hiyo.
1. Wewe unachotaka sio mwanamke, unataka sura mbaya kwaajili ya uchoyo ukiogopa kuibiwa na pia kwasababu hujiamini kuwa unaweza mridhisha na kumuhudumia.
2. Unataka mwanamke mtafutaji ili wewe ukae kijiweni yeye akatafute wakati kutafuta sio kazi ya mwanamke.
3. Unataka mwenye fikra pevu kwamaana wewe ni bongo lala wala hujui kuwaza, mwanaume ni kichwa cha nyumba, mipango yote ya maisha na mstakabali wa familia hutoka kwa baba.
Usijal dadanguNdio nmeona unataka kumliza msichana mwenzangu..mtafutie kitu cha kufanya mpe somo hii dunia sio ya kukaa kubweteka naamin atakuelewa
Kupima tu ukakamavuAtembee km moja kwani bodaboda za nini
Dah sawa kiongozi bless upYaah siyo vizuri bwana
Safi Mzee umeongea Economically ZaidiUkiacha wezako wanachukua, ukishiba wezako wanakula.
Mawazo yako ni mazuri sana lazima kujitasmni mwenyewe kabla ya kufanya maamuzi. Lakin kama msichana amependa na yupo tayari kulala chini mchukua, kama dona ali wala majani siyo size yako.
Bless MkuuKwanza nakupa hongera mkuu 6yrs kwenye relation hakika umejitahid. Turudi kwenye topic, sasa mkuu 6yrs ago na leo ndio umemuona hafai?. Bora ungemuacha mapema lakini now utamuachia maumivu ya milele but i know kwetu sisi wanaume ni so simple ila kwa mtt wa kike asee ataumia sana. Nenda nae taratibu mkuu huku ukijaribu kutafuta second option maana naona akili yako haimtaki kabisa.
HahahahaAmekupa usichana wake, shida nini tena
Hahahaa Hapana....nimeshaishi zaidi ya miaka 28 nini kinitishe tenaJamaa inaonekana maisha yanakutisha eeeh...?!
Wanasema Huinukia KoromaJiamini mkuu sijaona sababu hapo ikufanye umuache wasiwasi wako tu.
Nakama unaikumbuka ile methali inayosema "mchagua chagua sana Nazi....... "Utamalizia mkuu.
Safi sanaYangeandikwa na msichana ningeelewa.
Mwanaume ni kuhangaika
Nani uyouchuzi mtupu watu wanasaka ela wew unasala like..bunjuani
Bless up BroBaada ya kum##%%%¥¥mba kwa zaidi ya miaka sita sasa ndiyo umegundua hili! Je, uliwahi kumshauri abadilike?
Mungu anakuona ujue, huyo utakayekuja kumpata anaweza kuwa pasua kichwa na unaweza kujuta kumfahamu na ukamkunbuka huyu uliyempa ahadi ya uongo kwamba utamuoa kumbe ulichotaka ni yeye aendelee kukuvulia picchu.
Umeongea Ujinga tofauti na Wenzako...Hongera kwa uvivu wako wa kufikiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mujibu wa hoja yako nambari moja ni unatangaza hadharani mama yako mzazi aliolewa akiwa na sura mbovu na shapeless [emoji102][emoji101]
Na kama alikua mzuri na shape ya kuvutia basi watu wengi wamemla tofauti na baba yako na inawezekana hata huyo mdingi si wako[emoji102] [emoji101]
Ahsante bro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamii ya wanaume kama huyu ndiyo wale kwenye action movies wanaouawa wakati movie haijamalaza robo saa tangu ianze kwa maana ni useless!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anataka mwanamke mkakamavu, mbeba zege.
Namba niPM[emoji3][emoji3][emoji3]Naomba namba zake