Hii ndoto ilinifanya nikasilimu

Hivi kumbe Yesu Imani yake ni ukristo nilikuwa sijui
Yesu ndiye Kristo, ndio maana sisi tunaomfuata tunaitwa wakristo, yaaani watu wa Kristo. na hiyo sio dini, ni maisha halisi. ukija kwa mlengo wa dini umepotea, na dini haimfikishi mtu popote.
 
Kuslimu mpaka visa vingapi?
Sijui, ndiyo maana nikauliza.
Leo:- ndoto hii ndiyo ulifanya nikaslimu.

Juzi:- Aya hii ya kuran ndiyo ilifanya nikaslimu.
Hatujui kesho itakutengenezea tukio gani litakalo kufanya uslim tena na uje kutoa Shuhuda.

You either die a hero Or live enough to see yourself become the villain".
 
Sio kila ndoto ni ya Mungu, zingine ni ndoto za shetani...

Sio kila ndoto ni kweli, zingine zinapotosha
 
Welcome home, to where you very belong. Hii imenikumbusha nyimbo moja ya zamani sana ya Osibisa:


View: https://youtu.be/kpo-kp9ToJw?si=dkNUKFu7Oh83qy_z
 
Sio kila ndoto ni ya Mungu, zingine ni ndoto za shetani...

Sio kila ndoto ni kweli, zingine zinapotosha
Utajuaje kua hii ndoto ni ya kweli na hii sio ya kweli?
Utajuaje kua hii ndoto ni ya Mungu na hii ni ya shetani?

Mleta mada angekua ni Muislamu kisha akaota hiyo ndoto na akahamia kwenye dini ya ukristo ungeandika hicho ulichokiandika?
 
Sipendagi maubishi ya kidini, lakini toka nimegundua kuwa shetani alisilimishwa na mtume na shetani akawa muislam, mashaka kwenye imani hii ni mengi kuliko matumaini. Pole dada.
Shetani yupi alisilimishwa kua muislamu? alisilimishwa na mtume gani?

Muislamu kabla ya kusali hujikinga na shetani halafu wewe unasema shetani alisilimishwa!
Mkikaa huko kwenye vijiwe vyenu mnajazana ujinga na wewe unabeba tu!
 
Bado hujanishawishi aisee!! Mimi
na Kanisa langu la Roman Catholic Church aka Kanisa la Kitume! Kanisa la Kisinodi! ni mpaka ukamilisho wa Dahari.
Eti kwamba "nasadiki kwa kanisa moja, takatifu katoliki la mitume, naungama ubatizo mmoja"........nikifikaga hapo ndo nasema sina maamuzi tofauti
 
Hiyo Yohana imeandikwa miaka mingi baada ya Nabii Issa na imeandikwa chini ya mikono ya wahuni tu.
 
Ameuuwa ukafiri kutoka kwenye nafsi yake. Wewe unangoja nini, kutoka kizani kuingia kwenye nuru?
Faiza my sister, hapo ulipo upo gizani, upo mikononi mwa shetani, hata wewe mwenyewe unajua. imani unayoifuata sio sahihi na haitakufikisha kwenye uzima wa milele. hilo pia unalijua. chukua hatua mapema, Mpokee Yesu Kristo, uwe Mkristo, ili uiponye nafsi yako. Mungu akusaidie.
 
Tatizo lenu kubwa nyinyi ndugu zetu katika imaan, ni shule tu na unafiki. Maana hata kwenye jamii yenu ya waislam, hao mashoga wamejaa! Na hatujawahi kuwaona mkiwatenga. Sasa sijajua kosa liko wapi hapo.
Nafkiri hawatengwi kwa sababu hawajulikani. Wanafanya kwa siri, ila ukijulikana ni kimbembe! Ngoma nagwa! Ngoma tokomile! 😀🤬
 
Hiyo Yohana imeandikwa miaka mingi baada ya Nabii Issa na imeandikwa chini ya mikono ya wahuni tu.
Nabii Isa sio Yesu Kristo, yule nabii Isa aliyeandikwa kwenye kitabu chenu sio huyu Yesu tunayemsema sisi. ndio maana hata leo, tukikutana na wewe nikasema "Kwa jina la nabii isa mapepo toka, hayatoki, ila nikitaja Jina la Yesu Kristo tu, mapepo na majini yako yote yatatimua mbio. mwandishi wenu alikuja kubadilisha kila kilicho kweli kuwa uongo.
 
Ukisoma Quran utagundua manabii wote kuanzia Adam,Ibrahim,Mussa, Suleiman,Yakub,Issa na wengine wote walikuwa waislam.
Adma ndie muislam wa kwanza
 
Endelea au ndio umemaliza?
Nionavyo amefanya jambo la maana sana, wewe 8nangoja nini? Huwa nawashauri wasio Waislam japo kutembelea msikitini, waingie wamsujudie Muumba wao pekee. Waione raha yake, si ya kuhadithiwa, haina mithili yake.

Jaapo hata nyumbani ukitoka kuoga vizuri, tazama video clip za Waislam wanavosujudu na wwe hapo hapo nyumbani kwako sujudu kwa muumba wako, hutojuta.
 
Wakuu Nini swali naomba mnieleweshe maana nimeona Kwa mtu wangu WA karibu.

Ni kwanini mtu asiye muislamu akitibiwa na mganga kisha ikaonekana kupona ni ngumu huwa anaambiwa awe muislamu?
 
Shetani yupi alisilimishwa kua muislamu? alisilimishwa na mtume gani?

Muislamu kabla ya kusali hujikinga na shetani halafu wewe unasema shetani alisilimishwa!
Mkikaa huko kwenye vijiwe vyenu mnajazana ujinga na wewe unabeba tu!
sawa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…