ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Mkuu hii avatar yako ni kitu gani!?Amin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii avatar yako ni kitu gani!?Amin
Unamjibia wewe ni hawara yake?Ameuuwa ukafiri kutoka kwenye nafsi yake. Wewe unangoja nini, kutoka kizani kuingia kwenye nuru?
Ubarikiwe sanaAmin
Siku liitie jina la Yesu kwa imani ukijaribiwa na majini/mapepo/mizimu/wachawi/wanga/washirikina/walozi/waganga wa kienyeji (Mawakala wa Shetani) ushuhudie uwezo wake ndipo uje ulete mrejesho hapa kwanini Yesu ni Mungu.Unafanya dhambi kubwa na kumkosea Muumba wako unapompa Yesu binadamu kama Wewe hadhi ya Mungu.
Yani unamuabudu binadamu mwenzio
Yesu alikuwa Nabii kama manabii wengine, na hakuwahi kusema yeye ni Mungu
Kina Paulo na Waroma ndio waliochakachua na kuanza kumuabudu Kama Mungu.
Shirki mbaya sana.
kilimtii allah ambaye sio Mungu wa kweli,QURAN 3: 83-85
83: Je, wanataka dini isiyo kuwa ya Mwenyezi Mungu, na hali kila kilichomo mbinguni na katika ardhi kimesilimu kwa kumtii Yeye kikipenda kisipende, na kwake Yeye watarejeshwa?
84. Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.
85. Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye katika maisha ya akhera atakuwa katika wenye kupata hasara.
Ndugu yangu hiyo ndoto yako ni ya kweli kabisa, usitoke kwenye uislamu utapata hasara. Wasioamini waache waendelee kubisha tu mwisho kila mtu ataingia kwenye kaburi lake.
QURAN 3: 83-85
83: Je, wanataka dini isiyo kuwa ya Mwenyezi Mungu, na hali kila kilichomo mbinguni na katika ardhi kimesilimu kwa kumtii Yeye kikipenda kisipende, na kwake Yeye watarejeshwa?
84. Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.
85. Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye katika maisha ya akhera atakuwa katika wenye kupata hasara.
Ndugu yangu hiyo ndoto yako ni ya kweli kabisa, usitoke kwenye uislamu utapata hasara. Wasioamini waache waendelee kubisha tu mwisho kila mtu ataingia kwenye kaburi lake.
WAsabato hatuamini hvyo.Wapo.
Yesu ndio Mungu mwenyewe..Huyo Yesu hakusaidii lolote, ashaoza. Mtegemee Mungu
Sisi wakristo Mungu wetu ni Yesu asa kama na nyie waislam mnakubaliana na sisi basi sawa Mungu ni Mmoja...uyo sijui Allah kwetu si chochote...😂😂😂Hongera. Mungu ni mmoja na wote tunamwabudu yeye,tofauti zetu ziko kwenye namna ya kumuabudu. Hayo mengine yote ni mbwembwe tu zisizo na maana.
Kila la heri
Kwahyo unataka kuniambia ukimuomba Mungu hakusaidii ila ukimuomba Yesu ndo anakusaidia?Siku liitie jina la Yesu kwa imani ukijaribiwamajini/mapepo/mizimu/wachawi/wanga/washirikina/walozi/waganga wa kienyeji (Mawakala wa Shetani) ushuhudie uwezo wake ndipo uje ulete mrejesho hapa kwanini Yesu ni Mungu.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mungu ni Cheo katika nafsi kuu 3.Kwahyo unataka kuniambia ukimuomba Mungu hakusaidii ila ukimuomba Yesu ndo anakusaidia?
Hao wasabato wakuu.WAsabato hatuamini hvyo.
Kwahyo huyo Yesu ana mamlaka makubwa kuliko Mungu?Mungu ni Cheo katika nafsi kuu 3.
1. Mungu Baba (Yehova/Yawe....majina zaidi ya 27).
2. Mungu mwana (Yesu/Neno/Kweli/Mwanakondoo/Mikaeli....).
3. Roho Mtakatifu
Mfano halisi wa utatu wao mtakatifu ni yai 1 lililo na ganda/gamba la nnje + nyama nyeupe + kiini.
Ukimwomba Mungu hukusikia ila Yesu kapewa mamlaka zaidi sababu alijitoa nafsi yake kufanyika kafara ya damu msalabani ili uokolewe toka dhambini na upate uzima wa milele (maisha baada ya kifo cha hapa duniani).
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Yesu ndio Mungu mwenyewe..
Una swali lingine??
Kabla ya ukirsto na uislamu watu walizaliwa wakiwa dini gani? Mahusiano yetu na Mungu ndio jambo la msingi sana kuliko dini zetu, tunashika, tunatii na kupenda sana dini zetu na madhebu yetu kuliko kumpenda na kumtii Mwenyezi Mungu.hiyo ndiyo ikawa njia iliyonipelekea kurudi kwenye uislam(Kila mtu huzaliwa muislam).
hizi ni story tena za mtu aliyeshiba ubwabwa. aliyekuja kupotosha Biblia, tena asiyejua kusoma na kuandika. mnaziaminije?QURAN 5: 116-117
116. Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa mwana wa Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu wawili badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa) atasema: Wewe umetakasika! Haiwezekani mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua. Wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi Yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi mkubwa wa yaliyo fichikana.
117. Sikuwaambia lolote ila uliyo niamrisha, nayo ni: Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Na mimi nilikuwa shahidi juu yao nilipo kuwa nao. Na ulipo nifisha ukawa Wewe ndiye Muangalizi juu yao. Na Wewe ni shahidi juu ya kila kitu.
Nakushauri ndugu yangu uchukue japo muda kidogo uisome QURAN kabla hujaondoka hapa duniani kwani there will never be a second chance, JESUS WAS NEVER EQUAL TO ALMIGHY GOD! HE WAS A PROPHET JUST LIKE MUHAMMAD AND ABRAHAM AND MOSES AND ALL OTHER PROPHETS.