Puncler
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 1,386
- 1,888
Kwahiyo bora kuimba 'nitakutoo....' au 'amelowa' au kumba 'bia tamu'.Hamna kitu mnaacha kuwapa support wasanii wazuri kama marioo na konde boy mnasifia ujinga tu hapa kuanzia yatapita na hii sijui suwena hamna kitu marioo kamuacha mbali kwa utunzi na uimbaji sema bongo wanapenda ujinga tu ndio maana mwinjaku na baba levo wameenda bungeni.
Mtu ameijenga na kui-maintain career tokea anetoa his first hit song, haters are just fans in disguise and you're one of them.
Mmakonde ni moja ya failures ashukuru tu kubebwa kwenye mbeleko ya Diamond wakati judges wa BSS walishamwambia ya kuwa hana talent akatafute shughuli nyingine ya kufanya, isingekuwa juhudi na maarifa ya Diamond angekuwa mtaani anatembeza karanga na korosho. Labda kile kikohozi cha ku-glamorize bangi ndiyo mambo ya msingi.