Hii Ngoma ya Joel Lwaga Imekua ni National Anthem. Wachawi haeakosekani hata wenye chuki pia, lakini imeenda

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Yes!

No one saw it coming ..wafia dini wanasema eti ni bongo flavor. Hawasikilizi message.
Hii hapa...
Your browser is not able to play this audio.
Kaka Joel mimi binafsi nlikua sikujui, ila kuna siku nlikuta wimboo huu unapigwa mahali nikauliza huyu nani?

And the rest is this thread. Keep it Up
 
Hii haijaifunika Sitabaki Nilivyo.

Ova
 
Kwanini wabongo tunaamini sana kwenye husuda. Yaani changamoto, magumu unayopitia huwa mnaamini ni watu wa pembeni wamewatendea. Mara wanakuonea wivu, wanakuroga, hawakupendi nk

Adui namba moja kwenye maisha yako siku zote ni wewe mwenyewe.
Ndio asilimia kubwa ya watu walivyo
Nikikutana na mtu yupo hivo huwa najiweka mbali mapema sana
 
Ndio asilimia kubwa ya watu walivyo
Nikikutana na mtu yupo hivo huwa najiweka mbali mapema sana
Sahihi. Mtu wa namna hiyo akienda kwa mganda akambrainwash kidogo tu anakuondoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…