Davidson david
JF-Expert Member
- Jul 26, 2023
- 1,029
- 1,051
Mbaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulipishana mkuu niwie radhi yashapita hayo..Mkuu samahani sana sana kama nimekukwaza 🙏🙏🙏
Comrade nilisubiri sana hii replyKama ulikua humjui Joel Lwaga, wewe ni moja ya audience aliyokuwa anaitaka kupitia huo wimbo wenye mahadhi ya kisasa.
Kiuhalisia siuchukii Ila nauona kama inspirational song tu kama naringa ya Zuchu.
Maana ni wimbo unaoliwaza na kutia moyo Ila spiritually upo empty. Ukitaka kuliamini hilo tafuta signature song ya Joel "sitabaki kama nilivyo" Au hata zingine ambazo ni za modern gospel Ila bado at least zilikuwa nzuri kama " Yote mema".
siuchukii huo wimbo Ila nauona kama unamzaa commercial Joel kitu ambacho sitamani kukiona maana Joel ana kipaji kikubwa sana sanaa. Ila akianza kuiona pesa na umaarufu kuliko injili. Ni wazi litakuwa anguko lake kiroho
Tupo pamoja mkuuComrade nilisubiri sana hii reply