Tanganyika Mpya
Senior Member
- May 3, 2024
- 170
- 375
Alichoimba ni nini hapo?
Ujumbe ni nini?
Ni mziki wa dunia au injili?
Sijasikia neno Yesu wala Mungu.
Jamaa ameamua kufuata nyayo za Willy Paul's, yule kijana mjinga kabisa wa kule Kenya.
Mkuu wakikosolewa tu wanakimbilia ni Wivu, husda, uchawi......hao wanaowaza hivi ndio fikra zinazojaza mioyo yao.Kwanini wabongo tunaamini sana kwenye husuda. Yaani changamoto, magumu unayopitia huwa mnaamini ni watu wa pembeni wamewatendea. Mara wanakuonea wivu, wanakuroga, hawakupendi nk
Adui namba moja kwenye maisha yako siku zote ni wewe mwenyewe.
Huyu Hata akienda Kwa Pdidy atamfukuzia mbali.Yes!
No one saw it coming ..wafia dini wanasema eti ni bongo flavor. Hawasikilizi message.
Hii hapa...
View attachment 3174076 Kaka Joel mimi binafsi nlikua sikujui, ila kuna siku nlikuta wimboo huu unapigwa mahali nikauliza huyu nani?
And the rest is this thread. Keep it Up
If so why did u say this matter at the forum?Thats too privacy
Am not a member of any secret organizationIf so why did u say this matter at the forum?
So you know it's a secret organisationAm not a member of any secret organization
ExactlySo you know it's a secret organisation
Do you think people can say if they are among the members?Exactly
Think beyond. Anamaanisha nini akisema OLODUMARE???? Wanaimba codes hao. Jaribu lu Google hilo neno. Anamuimba Mungu gani?Yes!
No one saw it coming ..wafia dini wanasema eti ni bongo flavor. Hawasikilizi message.
Hii hapa...
View attachment 3174076 Kaka Joel mimi binafsi nlikua sikujui, ila kuna siku nlikuta wimboo huu unapigwa mahali nikauliza huyu nani?
And the rest is this thread. Keep it Up
No, lets close this discussion SirDo you think people can say if they are among the members?
Umedwega😃😃No, lets close this discussion Sir
Twafwaaaaaaa....Think beyond. Anamaanisha nini akisema OLODUMARE???? Wanaimba codes hao. Jaribu lu Google hilo neno. Anamuimba Mungu gani?
Umesahau kuongeza na shukrani na praise kwa Mola wakoHuu wimbo unanisaidiaje Mimi mwenye dhambi kumrudia Mungu?
Nyimbo za injili maana yake zimebeba injili...maonyi, mafundisho, makaripio
Unabisha nin sasa ukisikiliza kwa haraka unaweza fikiria ni sauti soul hata mim kwa mara ya kwanza nilifikiri ni sauti soul..Like bro.. serious! U must be under something.. alcohol or the like ..