aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 8,724
- 24,474
Nilinunua visiwanI kule Kizimkazi,
ila hapa mjini lazima nikutane na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia, Siyo wanaume tu, mpaka baadhi nakutana na wanawake wameivaa 🤔.
Nilitaka nikaibebee zege ila nimeona si jambo zuri maana huenda Kuna mwingine anaweza kuifanya nguo ya kanisani na ikadumu kuliko kuibebea zege ikaisha ndani ya siku mbili.
Nimeweka hapa JamiiForum maana kupitia hapa mimi pia nimepata mambo mengi ya msaada.
Kupitia hapa nimewahi kusaidiwa Chakula , nimewahi kusaidiwa nauli na hata sehemu ya kulala.
Asanteni.
Saizi ni XL
Mawasiliano 0624254690
Joanah
min -me
UPDATE:
01:30 PM
Nguo tayari imechukuliwa wakuu.
Naomba niwaambie kitu,
tuacheni dharau na kejeli, kama wewe una vitu na vimekutosheleza basi Kuna watu tunao hapa hapa na wanauhitaji mkubwa.
Huenda una masufuria wewe hauyatumii Yako stoo tu na Wala hauna mpango wa kuyatumia, basi Kuna mtu anahitaji Sana hivyo vyombo ila Hana Hela ya kununua (Yes hata kama chombo kinauzwa 2,000 Kuna mtu Hana hiyo hela, niamini mimi Hana kweli)
🙏