Hii nguo Kila nikiivaa nakutana na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia

Hii nguo Kila nikiivaa nakutana na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia

View attachment 3641741Wakuu anayetaka hii nguo aje hapa kigogo aichukue.

Nilinunua visiwanI kule Kizimkazi,
ila hapa mjini lazima nikutane na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia,
Siyo wanaume tu, mpaka baadhi nakutana na wanawake wameivaa 🤔.
Nilitaka nikaibebee zege ila nimeona si jambo zuri maana huenda Kuna mwingine anaweza kuifanya nguo ya kanisani na ikadumu kuliko kuibebea zege ikaisha ndani ya siku mbili.
Nimeweka hapa JamiiForum maana kupitia hapa mimi pia nimepata mambo mengi ya msaada kupitia hapa.

Saizi ni XL
Mawasiliano 0624254690

Joanah
min -me

Asante kwa upendo aise

Sababu uliyoitoa imeniacha hoi 😂😂
Kwa hiyo mimi na braza min -me tuje tuchukue sare ya jiji 🤣

Enwei XL haitanitosha mimi navaa Medium
 
Back
Top Bottom