Hayo yote hayanihusu kabisa mkuu.Sijaitumia hata senti Moja kuandika huo waraka mkuu
Ndio nakuambia sasa, hata jana alivaa kwenye Jumuiya yeye kama Mwenyekiti wa JumuiyaAcha matusi mkuu š¤£
Hata ungesema still yasingenihusu tu.Na sijasema kwamba yanatakiwa yakuhusu mkuu
Unaiuza bei ganiBaba yangu ni msukuma wa Bariadi, kwahiyo huenda uko sahihi ni nguo za wasukuma, lakini mimi siitaki hii nguo
š¤£š¤£š¤£Nguo za wasukuma hzo
Vizuri Mkuu.Na ndiyo maana sijasema
View attachment 3641741Wakuu anayetaka hii nguo aje hapa kigogo aichukue.
Nilinunua visiwanI kule Kizimkazi,
ila hapa mjini lazima nikutane na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia,
Siyo wanaume tu, mpaka baadhi nakutana na wanawake wameivaa
Nawatumia Suruali nyeupe mnipe size tu š
Achana nayo hiyoView attachment 3641741Wakuu anayetaka hii nguo aje hapa kigogo aichukue.
Nilinunua visiwanI kule Kizimkazi,
ila hapa mjini lazima nikutane na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia,
Siyo wanaume tu, mpaka baadhi nakutana na wanawake wameivaa š¤.
Nilitaka nikaibebee zege ila nimeona si jambo zuri maana huenda Kuna mwingine anaweza kuifanya nguo ya kanisani na ikadumu kuliko kuibebea zege ikaisha ndani ya siku mbili.
Nimeweka hapa JamiiForum maana kupitia hapa mimi pia nimepata mambo mengi ya msaada.
kupitia hapa nimewahi kusaidiwa Chakula , nimewahi kusaidiwa nauli na hata sehemu ya kulala.
Asanteni.
Saizi ni XL
Mawasiliano 0624254690
Joanah
min -me