Hii nguo Kila nikiivaa nakutana na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia

Bei ghali ni kiasi Gani mkuu?
Maana nimenunua hii nguo 18,000
Hiyo kwa Zanzibar ndiyo bei zao. Nguo hiyo Dar unauziwa elf 7 na ukienda Zanzibar unauziwa bei uliyoitaja, Siku nyingine Ukienda Kimzikazi usinunue Nguo wala viatu labda ununue mafuta ya nazi na kanzu, kwenye kipengere cha kuvaa Wazanzibar siyo Mambo yao.
 
Nakutumia namba yangu mpe bodaboda ailete hapa mwiaho wa lami.
Saa ngapi mkuu niende Stendi hapo nikutane na huyo Bodaboda, kama itakuwa zaidi ya saa nane Kuna jamaa kasema atakuja kuchukua mida hiyo kwahiyo kama ni muda huu sawa nitoke chap niende Stendi hapo
 
RRONDO
IMG_20260802_114506_734_1.jpg

RRONDO
 
Saa ngapi mkuu niende Stendi hapo nikutane na huyo Bodaboda, kama itakuwa zaidi ya saa nane Kuna jamaa kasema atakuja kuchukua mida hiyo kwahiyo kama ni muda huu sawa nitoke chap niende Stendi hapo
Mpe huyo jamaa tu maanake nitachelewa kidogo.
 
kuna mtu anayekiwa kupotezwa, ama sijapasua code.
Hivi kweli mkuu mimi napoteza vipi mtu hebu acha zako.
Isitoshe tunakutana stendi hakuna kwenda vichochoroni sasa sijui nampoteza vipi mtu.
 
Hiyo kwa Zanzibar ndiyo bei zao. Nguo hiyo Dar unauziwa elf 7 na ukienda Zanzibar unauziwa bei uliyoitaja, Siku nyingine Ukienda Kimzikazi usinunue Nguo wala viatu labda ununue mafuta ya nazi na kanzu, kwenye kipengere cha kuvaa Wazanzibar siyo Mambo yao.
Yeah niliona bei za nguo ziko juu kule.
Lakini ililazimu kununua
 
Back
Top Bottom