Wauzaji tunawajua clients wetu vyedi 😹😹Mimi mwenyewe baba msukuma mama muha 🤣 pata picha
Nguo zao wanafata Dar na wanafata zinazo fanana ndiyo maana kwenye maduka yao utakuta nguo zile zile tu, hawajui Biashara ya nguo, wao Biashara nzuri wanaleta vitu Used ndiyo wanaleta bidhaa nzuri.Yeah niliona bei za nguo ziko juu kule.
Lakini ililazimu kununua
Kumbe mwenyewe anajua anachokifanya 😁
Mtumba.Tanzania kwa sasa kuna hili tatizo mtoa mada, sio tatizo lako pekeyako.
Sijui wanaovaa nguo unique wanatoa wapi walahi!
1. Unaagiza au unanunua online.Tanzania kwa sasa kuna hili tatizo mtoa mada, sio tatizo lako pekeyako.
Sijui wanaovaa nguo unique wanatoa wapi walahi!
1.Mimi nanunua mostly kwenye haya maduka ya wafanyabiashara wetu wanaoenda china.1. Unaagiza au unanunua online.
2. Kama huwa unasafiri nje ya nchi unanua huko uendako
🫶🏻Mtumba.
View attachment 3641741Wakuu anayetaka hii nguo aje hapa kigogo aichukue.
Nilinunua visiwanI kule Kizimkazi,
ila hapa mjini lazima nikutane na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia,
Siyo wanaume tu, mpaka baadhi nakutana na wanawake wameivaa 🤔.
Nilitaka nikaibebee zege ila nimeona si jambo zuri maana huenda Kuna mwingine anaweza kuifanya nguo ya kanisani na ikadumu kuliko kuibebea zege ikaisha ndani ya siku mbili.
Nimeweka hapa JamiiForum maana kupitia hapa mimi pia nimepata mambo mengi ya msaada.
kupitia hapa nimewahi kusaidiwa Chakula , nimewahi kusaidiwa nauli na hata sehemu ya kulala.
Asanteni.
Saizi ni XL
Mawasiliano 0624254690
Joanah
min -me
Huyu jamaa ni fundi ujenzi. Huwa napiga naye kazi mara kwa mara.Nunua nguo mtumbani
Au za bei ghali.
Lakini shida yangu ipo kwenye hiyo nyundo.
Inafanyaje hapo?
Kwa hiyo na wewe unatembea nayo hiyo nyundo 🙆Huyu jamaa ni fundi ujenzi. Huwa napiga naye kazi mara kwa mara.
Hapana Mimi natembea na jiwe 'fatuma'.Kwa hiyo na wewe unatembea nayo hiyo nyundo 🙆
😅😅😅😅😅😅Hapana Mimi natembea na jiwe 'fatuma'.
Nikikuta umemuingiza hawala wako ndani mwetu naubomoa mlango kwa kutumia jiwe tajwa hapo juu.
😀😀😀DahWatanzania wanapenda pundamilia ili wakivaa wafanane na wenzao hifadhini
Labda mtumba ipo ile grade one kuna duka pale tabata segerea aisee nguo zao sijawah zionaga popote ni nzuri sana japo sijawah uliza bei zaoTanzania kwa sasa kuna hili tatizo mtoa mada, sio tatizo lako pekeyako.
Sijui wanaovaa nguo unique wanatoa wapi walahi!
Wana account insta? share handle yao mamdogo.Labda mtumba ipo ile grade one kuna duka pale tabata segerea aisee nguo zao sijawah zionaga popote ni nzuri sana japo sijawah uliza bei zao
Linaitwaje??tabata segerea