realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Suruali nyeupe+hiyo t-shirt hakuna mtu atakataa sisi sio wasukuma ๐
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Suruali nyeupe+hiyo t-shirt hakuna mtu atakataa sisi sio wasukuma ๐
Mkuu nguo za Dukani ndiyo zilivyo mauzo yake hayana tofauti na Jezi za timu, Mimi sipendi kuvaa nguo ambayo kila mtu anaweza kuimudu kuipata, Mimi hata jezi za timu nikiwana najitahidi niwe nayo peke yangu, Mimi napenda kuvaa bidhaa za peke yangu kuanzia Viatu, jeans, Cadet, shati.
Mimi siitaki mkuu ila toka nayo ummpe mhitaji yeyoteSiiuzi hata mia mkuu, mchawi nauli yako tu uje uichukue
Hilo na Tishert na gari haviendaniKweli ningevaa hiyo tisheti ya kisukuma na nikavizia haria ya boss wangu nikapiga picha ungekuja PM mkuu? ๐คฃ
Sasa akikuta misumeno chumbani si ndiyo namjengea Bure malipo utelezi ๐คฃKwani hujui๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Sasa akakodi alafu uende ukutane na nondo na nyundo kweli?
Duh sasa nikitoka huku Chqnikq hadi hapo Kigogo nquli si itqzidi bei ya hio nguo?View attachment 3641741Wakuu anayetaka hii nguo aje hapa kigogo aichukue.
Nilinunua visiwanI kule Kizimkazi,
ila hapa mjini lazima nikutane na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia,
Siyo wanaume tu, mpaka baadhi nakutana na wanawake wameivaa ๐ค.
Nilitaka nikaibebee zege ila nimeona si jambo zuri maana huenda Kuna mwingine anaweza kuifanya nguo ya kanisani na ikadumu kuliko kuibebea zege ikaisha ndani ya siku mbili.
Nimeweka hapa JamiiForum maana kupitia hapa mimi pia nimepata mambo mengi ya msaada.
kupitia hapa nimewahi kusaidiwa Chakula , nimewahi kusaidiwa nauli na hata sehemu ya kulala.
Asanteni.
Saizi ni XL
Mawasiliano 0624254690
Joanah
min -me
Kidogo kwenye mtumba anaweza kupata ya peke yake lakini siyo kwenye za bei gari. Unaweza kununua nguo ya bei gari na Original lakini nguo kama hiyo low Quality ikauzwa mtaani kwa bei rahisi na watu wakaimudu kuipata, ukawa hauna tofauti wewe ulionunua shati ya elf 70 na yule aliyenunua shati hilo hilo kwa elfu 8000 Dukani kariakoo.Nunua nguo mtumbani
Au za bei ghali.
Lakini shida yangu ipo kwenye hiyo nyundo.
Inafanyaje hapo?
Kwahio ni afadhali uvae nguo ya mtumba kuliko nguo mpya zinazofanana? Hakuna kiwanda kinatengeneza nguo moja.Nunua nguo mtumbani
Au za bei ghali.
Lakini shida yangu ipo kwenye hiyo nyundo.
Inafanyaje hapo?
Kweli kabisaKidogo kwenye mtumba anaweza kupata ya peke yake lakini siyo kwenye za bei gari. Unaweza kununua nguo ya bei gari na Original lakini nguo kama hiyo low Quality ikauzwa mtaani kwa bei rahisi na watu wakaimudu kuipata, ukawa hauna tofauti wewe ulionunua shati ya elf 70 na yule aliyenunua shati hilo hilo kwa elfu 8000 Dukani kariakoo.
Si ishaivaa sio 18,000 tena. Halafu napanda bodaboda sio daladala.Acha zako mkuu ๐คฃ
Tisheti bei yake 18,000.
Chanika hapo ni gari Moja tu nauli 700 kuja na kurudi 1,400
Bei GHALI sio gari. Gari ni motokaaKidogo kwenye mtumba anaweza kupata ya peke yake lakini siyo kwenye za bei gari. Unaweza kununua nguo ya bei gari na Original lakini nguo kama hiyo low Quality ikauzwa mtaani kwa bei rahisi na watu wakaimudu kuipata, ukawa hauna tofauti wewe ulionunua shati ya elf 70 na yule aliyenunua shati hilo hilo kwa elfu 8000 Dukani kariakoo.