Usisahau na mapishi pia coz naona umejisahau kimtindo!!!!!!!ila nitakupa update
Nimekuwa mvivu wa kupost kwakweli nitajitahidiUsisahau na mapishi pia coz naona umejisahau kimtindo!!!!!!!
Hiyo nyundo pembeni ya kitanda ni silaha?View attachment 3641741Wakuu anayetaka hii nguo aje hapa kigogo aichukue.
Nilinunua visiwanI kule Kizimkazi,
ila hapa mjini lazima nikutane na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia, Siyo wanaume tu, mpaka baadhi nakutana na wanawake wameivaa 🤔.
Nilitaka nikaibebee zege ila nimeona si jambo zuri maana huenda Kuna mwingine anaweza kuifanya nguo ya kanisani na ikadumu kuliko kuibebea zege ikaisha ndani ya siku mbili.
Nimeweka hapa JamiiForum maana kupitia hapa mimi pia nimepata mambo mengi ya msaada.
Kupitia hapa nimewahi kusaidiwa Chakula , nimewahi kusaidiwa nauli na hata sehemu ya kulala.
Asanteni.
Saizi ni XL
Mawasiliano 0624254690
Joanah
min -me
UPDATE:
01:30 PM
Nguo tayari imechukuliwa wakuu.
Naomba niwaambie kitu,
tuacheni dharau na kejeli, kama wewe una vitu na vimekutosheleza basi Kuna watu tunao hapa hapa na wanauhitaji mkubwa.
Huenda una masufuria wewe hauyatumii Yako stoo tu na Wala hauna mpango wa kuyatumia, basi Kuna mtu anahitaji Sana hivyo vyombo ila Hana Hela ya kununua (Yes hata kama chombo kinauzwa 2,000 Kuna mtu Hana hiyo hela, niamini mimi Hana kweli)
🙏
Ila JF nimecheka sanaHata kama ndio ulale na nyundo na pima pembe kweli 😂 💔
Mkuu umeona nyundo na pima tu,hiyo shuka rangi ya pink hujaiona😁Hata kama ndio ulale na nyundo na pima pembe kweli 😂 💔
Atasema ni kitendea kazi 😅Mkuu umeona nyundo na pima tu,hiyo shuka rangi ya pink hujaiona😁
Samahani mkuu imechukuliwa na mtu wa jf?Nguo tayari imechukuliwa wakuu.
Itakuwa imefutwa nini! Ilikuwa kali, yaani ile ungevaa mashirima asingechomoa🤣Mbona picha sijaona shindii🤣
Ungenunua nije kukulipa🤣Itakuwa imefutwa nini! Ilikuwa kali, yaani ile ungevaa mashirima asingechomoa🤣
Hata haikuwa ikiuzwa, unajichukulia tu.Ungenunua nije kukulipa🤣
Ya hivyo mbayaHata haikuwa ikiuzwa, unajichukulia tu.
Halafu mbona picha bado ipo? Icheki ilivyo kaliiiYa hivyo mbaya
Sindii siku hizi navaa mshati tu ningeichukia ila pia ni kadogo😅Halafu mbona picha bado ipo? Icheki ilivyo kaliii