Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Ulivyokaukiana hivyo shati linakaa wapi!! Chukua kitu hicho mashirima achanganyikiwe.Sindii siku hizi navaa mshati tu ningeichukia ila pia ni kadogo😅
Ulivyokaukiana hivyo shati linakaa wapi!! Chukua kitu hicho mashirima achanganyikiwe.Sindii siku hizi navaa mshati tu ningeichukia ila pia ni kadogo😅
😄😄nimekaukiana lakini mbavu😃Ulivyokaukiana hivyo shati linakaa wapi!! Chukua kitu hicho mashirima achanganyikiwe.
Ndio ubebe kitu hicho ili angalau uonekane nawe ni mtu.😄😄nimekaukiana lakini mbavu😃
Hahaha hata nikivaa tambara naoneka ni mtu shindii😃Ndio ubebe kitu hicho ili angalau uonekane nawe ni mtu.
Na huo ukevi nakufananisha na rafiki yangu korokocho. Muda wote amewakaa halafu hanisahau. Kila nikipita anaomba jero🤣🤣Hahaha hata nikivaa tambara naoneka ni mtu shindii😃
Nipe jero shindii😅Na huo ukevi nakufananisha na rafiki yangu korokocho. Muda wote amewakaa halafu hanisahau. Kila nikipita anaomba jero🤣🤣
Nimempa korokocho🤣Nipe jero shindii😅
Endelea shindii nakuzoom tu😆Nimempa korokocho🤣
Mashirima anakutafuta.Endelea shindii nakuzoom tu😆
Yesu , fnya kumwakilisha shindiiMashirima anakutafuta.
Kumwakilisha nani?Yesu , fnya kumwakilisha shindii
Ulevi tu hata sijui tenaKumwakilisha nani?
Dah nilitaka nimstue Lucas Msambwanda aje ajishindie hilo pigo, kumbe @tlaahtlaah kashapita nalo! Ila anyway, kwakuwa ni familia watashea tu si mbayaView attachment 3641741
UPDATE:
01:30 PM
Nguo tayari imechukuliwa wakuu.
Naomba niwaambie kitu,
tuacheni dharau na kejeli, kama wewe una vitu na vimekutosheleza basi Kuna watu tunao hapa hapa na wanauhitaji mkubwa.
Huenda una masufuria wewe hauyatumii Yako stoo tu na Wala hauna mpango wa kuyatumia, basi Kuna mtu anahitaji Sana hivyo vyombo ila Hana Hela ya kununua (Yes hata kama chombo kinauzwa 2,000 Kuna mtu Hana hiyo hela, niamini mimi Hana kweli)
🙏
Nigaie mkuu na mie ning'ae
Nguo za Wameru.Nguo za wasukuma hzo