Hii nguvu ya kisiasa na ushawiahi mkubwa wa John Heche imetokea wapi muda mfupi?

Unadhani Watanzania wanafurahia uchawa, utekaji, mauaji, ufisadi, vitisho nk. Juzi tu ulimsikia msemaji wa serikali msigwa alivyotoa boko msemaji wa serikali unakuwa vile kwa nini serikali isichukiwe na wananchi? Kwa nanna hiyo kwa nini heche and the like wasisikilizwe na wananchi?
 
Hapo unakuta maCCM wmyanatafuta kumuua.

Hayanaga akili, yanawaza mauaji tu.
 
Kabla ya Januari tulikuwa tunaambiwa mbowe ndiye mwanasiasa asiyeweza kununuliwa nchini.

Siasa hizi!
 
Hoja anazozijenga Heche kwa Ccm mwenye ubavu wa kupambana nae ni Luhaga Mpina bc
 
Ameanza kutumia leso za kishirikina wanazotumia manabii na wachungaji feki kujifuta jasho hata kama yuko katika baridi kali
 
Mbona upepo huo huo unaovuma, unazidi tu kumsukumizia mbali yule mwenyekiti wako! Mwaga pesa, honga! lakini wapi! Weka mabango nchi nzima! Wapi!! Teka, ua, funga, baka, poteza! wapi!!
Haihitaji upepo tayari ni Rais anasubiria kuapishwa
 
Mda mwalimu, tumesema sana ,ila kwa kua masikio hawana ,mda mwalimu
 
Nchi yetu kama watz twaipenda sana ole wao walio katika mamlaka , Mungu anaenda washangaza , tubuni mapema sana ,sio ombi bali ni lazima ,hutaki hacha,asema Bwana
 
John Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.

Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha kwa watawala wasio na nia njema na taifa letu.
Wananchi kwa Pamoja wamekubaliana kuwa wana Njaa ya Haki
Your browser is not able to display this video.
 
John Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.

Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha kwa watawala wasio na nia njema na taifa letu.
Wananchi kwa Pamoja wamekubaliana kuwa wana Njaa ya haki.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…