Hii nguvu ya kisiasa na ushawiahi mkubwa wa John Heche imetokea wapi muda mfupi?

We ni shoga lake ndio maana unasisimka akiongea. Mazombie bwana mapumbavu kwl. Chama kimeshawafia bd hawajitambui
 
Akukomboe we lofa ktk huo upumbavu wako
 
Nimependa sana bandiko lako… hawa Vijana wapewe uongozi Kwa kweli …mradi tu wasifukue makaburi kwa amani ya Nchi
 
Ni upepo wa muda mfupi utapita... hana tofauti na kiki za kina Diamond. Heche kisiasa ni mdogo hata kwa Abdul Nondo wa ACT.
 
Nimependa sana bandiko lako… hawa Vijana wapewe uongozi Kwa kweli …mradi tu wasifukue makaburi kwa amani ya Nchi
Makaburi hayatafukuriwa. Jambo moja ninaloamini litafanyika na kufuta maovu na machafu yote ni Kuanzisha Tume ya Uwazi, Usuluhishi na Maridhiano.

The Council for Truth, Reconciliation and Transparency.
 
Anajua
Anajua kujenga hoja
 
Siku wakipewa nchi Hawa wazalendo watanzania tutasamehewa dhambi zetu wote
 
Leo hii unapenda Chadema wewe fisiem chawa wa mwendazake?
Ukikosa asali kama mrema na salumu and company ghafla unakuwa muhuni
Acha wivu wewe tafuta chimbo ulambe asali chakubanga

Hizo kelele zenu hazisaidii
 
Ni huruma tu kwamba kaachiwa jahazi aliongoze kwenye wakati mgumu hali mbaya ya hewa baharini kuna misukosuko mingi na nahodha wa chombo kawekwa ndani, inatia simanzi sana inabidi wananchi wamuone ni shujaa
 
Mzee wa kutwist, mtwistaji mwandamizi, NRNE nayo itwist tuone baba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…