Hii ni aibu kubwa: Ndege tumenunua kwa keshi, vifaa vya kupambana na Corona tumesubiri msaada wa Jack Ma

Sawa lakini rudi hapo kwenye kipimo,vipo vingapi? Kimoja kwa watu 50,000,000! Gaweni hata kwa nne hiyo hesabu, aibu!
 
Mkuu taratibu, kwani kuna ubaya gani kupokea zawadi unapokuwa katika changamoto?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo serikali ilikutangazia mekosa uwezo wa kuhudumia waathirika?
 
Kwa hiyo serikali ilikutangazia mekosa uwezo wa kuhudumia waathirika?
 
Tatizo mkuu inawezekana umesoma kichwa cha habari ukakimbilia kujibu hoja.

Tatizo hapa sio kupokea msaada. Msaada wenyewe ni test kits kma 20,000 mavazi 1,000 na maski 100,000.

Aibu ni kuwa hata kabla ya hapo nchi imeshindwa kujinunulia vitu kma ivyo imekaa ikisubiri msaada. Na vifaa sio kuwa vinatosheleza!

Nikatoa mfano wa marekani, wamepokea msaada ila je wajua ni vifaa kiasi gani vilkuwa vimeshasambazwa na serikal yao?

Kupokea msaada sio tatizo. Tatizo ni kubweteka na kusubir msaada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kajengeni kwanza ofisi ya chama makao makuu ndiyo muanze kuhoji Ndege,ama na sisi tuanze kuhoji zuruku ya chama inaenda wp?ukigusa hapo utasikia "account zetu zote zimefungwa"hivi ninyi watu mmnadhani kila mtu nimjinga,?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
U buy expensive garbages 4 u'r family but u don't to important things that can protect them rendering them exposed to maggots consuming their precious gift of life & still bragging for white elephant projects.
Haina tofauti na kumnunulia mkeo prado lakini umeshindwa kumnunulia CHUPI
 
Napingana na wewe mkuu,
K
Una nchi kama ufaransa nayo haikuwa na maandalizi,madaktar wanajinunulia vifaa na wengine wanatumia vifaa vya zaman.

Hili janga limekuja lakin ufaham kila nchi haikuwa na maandalizi,hata marekani wenywe hawakuwa wamejiandaa.walijiandaa tu kwenda kuchukua raia wao china lakin hawakuweka mikakat thabit kama ugonjwa ukisambaa kwao itakuaje...
Hatuko mahala pabaya ila tuombe uzima na mungu atuepushe..

Corona unaweza ukajiandaa kwa kila kitu lakin mwisho wa siku ikakupiga za uso..
Ni ugonjwa mbaya..sisi africa tunaishi kwa neeema tu hadi sasa.
 
Tatizo mnaleta uchama kwenye mambo ya kitaifa. Corona haina chama. Sasa endeleeni kujitoa tu akili. Siku ikifika mlangoni tunaomba ulete marejesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ulisikia Tuliomba Msaada au yeye kaleta msaada baada ya kuona tumepatwa na hili janga? Kuna watu wanatia shaka saana kuwaelewa kuwa huwa wanatumia nini kufikiria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipotoshe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maoni yako upo sahihi - maana kama michango ya CHADEMA na mikopo waliyo kopa kuwatoa wafungwa wakina Mbowe gerezani ingeelekezwa kununua mashine za kupima CORONA, tungekuwa na 12!
Wakina Mbowe warudishwe gerezani, tununue hivyo vifaa - maana za Mashinji na Msigwa hazitoshi. Tunashindwa nini? CORONA haina chama.
Ukikubaliana na hili nitajua unajitambua na kweli maoni yako si kejeli.
 
Kuna mjinga mmoja ambaye pia si mpumbav anapenda sana kusema Cdm wajenge ofisi hivi kuna siku alisikia Mbowe kanyeshewa au mafaili yamelowana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…