Mr Big
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 479
- 922
Mkuu naomba ingia bbc,tuanzie hapo kwanza..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba ingia bbc,tuanzie hapo kwanza..
Ndio hapo tunapo kosea kipaumbele majengo sio kuwekeza kupata wanachama kwanza na ndiyo maama Makaburu walipo inunua NBC waliuza majengo kuongeza mtaji nikuulize wewe ni majengo mangapi mapya tangu vyama vingi vianze kwa ruzuku kubwa upatayo umejengea?Kajengeni kwanza ofisi ya chama makao makuu ndiyo muanze kuhoji Ndege,ama na sisi tuanze kuhoji zuruku ya chama inaenda wp?ukigusa hapo utasikia "account zetu zote zimefungwa"hivi ninyi watu mmnadhani kila mtu nimjinga,?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa ya kuwatoa wakina mbowe ilikuwa michango ya wananchi. Watu walitoa 1000 hata 500 mpaka zikatimia. Wakiamua leo kuchangisha pesa kununua izo mashine inawezekana sana ndani ya saa 48 pesa ikatimia.Kwa maoni yako upo sahihi - maana kama michango ya CHADEMA na mikopo waliyo kopa kuwatoa wafungwa wakina Mbowe gerezani ingeelekezwa kununua mashine za kupima CORONA, tungekuwa na 12!
Wakina Mbowe warudishwe gerezani, tununue hivyo vifaa - maana za Mashinji na Msigwa hazitoshi. Tunashindwa nini? CORONA haina chama.
Ukikubaliana na hili nitajua unajitambua na kweli maoni yako si kejeli.
Kwa maoni yako upo sahihi - maana kama michango ya CHADEMA na mikopo waliyo kopa kuwatoa wafungwa wakina Mbowe gerezani ingeelekezwa kununua mashine za kupima CORONA, tungekuwa na 12!
Wakina Mbowe warudishwe gerezani, tununue hivyo vifaa - maana za Mashinji na Msigwa hazitoshi. Tunashindwa nini? CORONA haina chama.
Ukikubaliana na hili nitajua unajitambua na kweli maoni yako si kejeli.
Sidhani kama unajua kichwa kizima umejaa ujima.Huwezi kuwa na kila kitu. Mawazo ya kijima
Tusitishane kaugonjwa ka korona ni kadogo sana... Pigeni kazi watanzania msihofu.
View attachment 1399645
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh!Amedonate 500,000 test kits, na 1million masks kwa USA. Je wajua kabla ya hapo serikal ya USA ilikuwa imesambaza hizi kits ngapi na maski ngapi?
Je serikal ya Tz mpaka inapokea msaada ilikuwa imefanya juhudi gani interms ya kusambaza test kits na masks?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika vizuri sana. your greater thinker.Ni aibu kubwa eti nchi kubwa kama hii ambayo tumejitapa kujenga nchi kwa pesa zetu na kuwa hatuhitaji misaada, leo hii tumeshindwa kununua vifaa vya kupima na kujilinda na corona mpaka tumesubiri msaada wa Jack Ma.
Tatizo hapa sio kupokea msaada. Tatizo ni kubweteka na kusubir msaada.
Wiki mbili zilizopita, serikali ya CCM ilitoa takribani milioni 60 kulipia wafungwa wake fine. Yaani Magufuli alitoa 28m kumlipia Msigwa na Polepole 30 millioni kamlipia Mashinji.
Leo wameshindwa kutoa hata mchango binafsi kununua vifaa vyovyote vya kupambana na corona. Eti wameenda kujificha kwenye mawe huku wakiimba serikali ya wanyonge.
Nchi ina mashine moja ya kupima corona. Mashine 1 tu ina-cost $13,000. Hii ni kma m30. Maana yake ule mchango aliokataa Msigwa ungenunua mashine moja. Na tungesema Mashinji arudishwe gerezani, tungenunua na nyingine ya pili.
Imagine tuuze ndege moja tu na tununue mashine na vifaa vya kutosha. Si tungekuwa na uwezo wa kupima korona kila zahanati?
Inawezekana huu ugonjwa umeshasambaa kila mahali hapa Tz ila hatuwezi kuwa na takwimu sahihi sababu hatuna vifaa vya mass screening. Kinachosubiriwa tu ni wanyonge waanze kufa kama kuku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndyo hoja yenyewe wao wanakimbilia kwenye unyumbuLakini si ni kweli kuwa hatuna vifaa na hatuna mpango navyo ?!.
Nchi imeweka kipaumbele kununua vifaa vya kudhibiti wapinzani. Na si vya kudhibiti magonjwa ya milipuko kama Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusitishane kaugonjwa ka korona ni kadogo sana... Pigeni kazi watanzania msihofu.
View attachment 1399645
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukisema waafrika wana akili ndogo kuna watu wanahisi tumewadharauNi aibu kubwa eti nchi kubwa kama hii ambayo tumejitapa kujenga nchi kwa pesa zetu na kuwa hatuhitaji misaada, leo hii tumeshindwa kununua vifaa vya kupima na kujilinda na corona mpaka tumesubiri msaada wa Jack Ma.
Tatizo hapa sio kupokea msaada. Tatizo ni kubweteka na kusubir msaada.
Wiki mbili zilizopita, serikali ya CCM ilitoa takribani milioni 60 kulipia wafungwa wake fine. Yaani Magufuli alitoa 28m kumlipia Msigwa na Polepole 30 millioni kamlipia Mashinji.
Leo wameshindwa kutoa hata mchango binafsi kununua vifaa vyovyote vya kupambana na corona. Eti wameenda kujificha kwenye mawe huku wakiimba serikali ya wanyonge.
Nchi ina mashine moja ya kupima corona. Mashine 1 tu ina-cost $13,000. Hii ni kma m30. Maana yake ule mchango aliokataa Msigwa ungenunua mashine moja. Na tungesema Mashinji arudishwe gerezani, tungenunua na nyingine ya pili.
Imagine tuuze ndege moja tu na tununue mashine na vifaa vya kutosha. Si tungekuwa na uwezo wa kupima korona kila zahanati?
Inawezekana huu ugonjwa umeshasambaa kila mahali hapa Tz ila hatuwezi kuwa na takwimu sahihi sababu hatuna vifaa vya mass screening. Kinachosubiriwa tu ni wanyonge waanze kufa kama kuku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, nyie mliyozoea kulaga mpaka rambirambi hamko tayari kuachia 'UTAMU'.Kwahiyo ulihitaji tusinunue ndege tusubirie Corona ama majanga mengine kwanza?,halafu nyinyi ndiyo mnataka tuwape ridhaa ya kutuongoza,!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa serikal hii sishangai hata vifaa kuwekwa quarantine kwanza na baadaye tukapewa story nyingne kumbe wameshauza.kuna tetesi kwamba vinauzwa , je ni kweli ?