Hii ni aibu kubwa: Ndege tumenunua kwa keshi, vifaa vya kupambana na Corona tumesubiri msaada wa Jack Ma

Kwani vimeshafika maana huku mambo magumu kwelikwelj
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kma tumeweza nunua ndege kwa cash tunashindwaje kununua mashine za kupima wagonjwa? Kma tuliweza nunua ndege maana yake tunapesa nyingi na hata ivyo kuna budget ya pesa ya majanga. Ipo wapi? Inaganya nini?



Sent using Jamii Forums mobile app
utaambiwa ni muujumi uchumi kwa hayo maswali yako ambayo hawawezi kuyajibu kabisa
 

..fedha za kumtoa Mbowe na wenzake ziko serikalini.

..sasa labda ungeihoji SERIKALI kwanini isizitumie kununulia vifaa vya kujikinga na kupima ugonjwa wa corona.

..Pia kuna mabilioni yaliyokusanywa kutoka kwa mafisadi kupitia utaratibu wa plea-bargain. Fedha hizo kwanini hazitumiki kupambana na Corona.

..SERIKALI kubweteka na kusubiri misaada toka kwa wahisani wa nje.
 
Kwani ulisikia Tuliomba Msaada au yeye kaleta msaada baada ya kuona tumepatwa na hili janga? Kuna watu wanatia shaka saana kuwaelewa kuwa huwa wanatumia nini kufikiria.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekua hutaki ungeacha wapewe wengine wasio dona kantri. Kama umepokea maana yake ulikua unahitaji sema ulikua unaona aibu kusema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mleta mada hajielewi.
 
Jitahidi uwe na akili za kikubwa, Ethiopia walioupokea huo msaada unajua wanazo ndege ngapi?.

Hakuna binadamu mwenye ukamilifu sembuse wakati huu ambapo dunia imekumbana na janga. Kumbuka hili ni janga, huwa hakuna mtu anayemuomba Mungu ili liweze kutokea.
 
Umesema mashine ya kupima corona inauzwa $1300 na Tz iko moja ila ndege tunazo 9@$10ml
 
Huna hoja bora ungekaa kimya tu.
 
Pia kuna mabilioni yaliyokusanywa kutoka kwa mafisadi kupitia utaratibu wa plea-bargain. Fedha hizo kwanini hazitumiki kupambana na Corona.
Hiyo plea bargain yao ni kaa la moto itakuja kuwafunga wote walio cheza mchezo huu mchafu mbele ya sheria na haki za mtu aliyepo mahabusu kumnyanganya haki yake wakumbuke nini baada ya Azimio la Arusha na nini baada uhujumu uchumi ya Sokoine.Mambo mengine watawala kuweni makini mnaenda kutupa hali ngumu walala hoi kulipa mlio wadhulumu
 
Kwa staili hii upinzani ukiingia tutaona vituko vingi kuliko hata hivi vituko vya jiwe.
Kwa hiyo mtoa mada ulitaka serikali isinunue ndege isuburi Corona au ulitaka wakatae msaada?
 
Kwa staili hii upinzani ukiingia tutaona vituko vingi kuliko hata hivi vituko vya jiwe.
Kwa hiyo mtoa mada ulitaka serikali isinunue ndege isuburi Corona au ulitaka wakatae msaada?
Kma unaakili ndogo huwezi elewa. Ni sawa ununue gar lakini ushindwe peleka familia yako hospital wanapougua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wewe ni mpuuzi kwa sababu hoja zako zinasukumwa na chuki isiyo na msingi.

Ifike mahali tukubali kuwa Rais Magufuli ni kiongozi makini ambaye ameweza kusimamia vizuri utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya chama chake cha siasa, CCM. Hili ni tofauti na viongozi wa vyama vya upinzani, km CHADEMA ambao wanatumia pesa ya RUZUKU kula bata huku Makao Makuu hayana ofisi.

Toeni boriti kwenye macho yenu ndio mweze kutoa kibanzi kwenye Serikali iliyoko madarakani.
 

Ni upumbavu na ulofa kuuliza swali hilo wakati wewe mwenyewe, familia yako, majirani, na wafanyakazi wenzio mko salama hadi sasa iwapo tu kama kila mmoja wenu anatekeleza wajibu wake kufuata maelekezo ya kitaaluma.
 
Ni upumbavu na ulofa kuuliza swali hilo wakati wewe mwenyewe, familia yako, majirani, na wafanyakazi wenzio mko salama hadi sasa iwapo tu kama kila mmoja wenu anatekeleza wajibu wake kufuata maelekezo ya kitaaluma.
Umejuaje kama hata wewe upo salma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…