Hii ni aibu kubwa: Ndege tumenunua kwa keshi, vifaa vya kupambana na Corona tumesubiri msaada wa Jack Ma

Hajui hata Italy, Spain, Ethiopia na kadhalika zimepokea msaada huo. Kwasababu ni nyumbj na ni myopic anafikiria Tanzania tu. Labda tuendelee kumkumbusha pia kuwa hakuna sehemu yoyote Tanzania imeomba msaada ila haiwezi kukataa msaada.
Mkuu mwambie na ili hizo nchi nazo zikinunua ndege watu wanaenda uwanjani kuzipokea na kuimba nyimbo siku nzima ..Na MATAGA wa huko wanasambaza hizo habari
 
Ww umetoa nn..? Anza ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona siyo kipaumbele chetu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti wameenda kujificha kwenye mawe huku wakiimba serikali ya wanyonge [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji87][emoji87][emoji86][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
 
Tatizo la watanzania baadhi yetu mnachuki na magufuli mpaka akili zenu hazioni ata mazuri yake.lakin mkae mkijua hakuna aliyemkamilifu ila kajitahidi sana rais wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo nimeishamwambia. Pia nimemwambia hata mwenyekiti tajiri wa chama cha siasa cha upinzani akipigwa faini na mahakama kwa makosa yake, wanachama wake maskini wanamchangia kile kidogo walichonacho asifungwe ili apate nafasi ya kutumbua utajiri wake huku waliomchangia wakishinda njaa na watoto wao wakisoma shule za bure za Serikali wanayoiponda kila siku!
 
Aliekuambia hakuna vifaa hivyo ninani???
 
Wa
Ni busara sana kutopoteza muda kuandika jambo usilolifahamu na huna utafiti nalo.
 
Watanzania tuna wajibu wa kushikamana na kumuunga mkono JPM katika juhudi zake za ku-contain corona virus ili hisi sambae kwa wingi ndani ya Taifa letu.

Kwa bahati mbaya mwenzetu hilo ulioni, unakimbilia kwenye ngonjera za siasa uchwala 24X7 - any level headed Tanzanian hawezi kuleta hoja zisizo na mshiko wakati Taifa letu linapita kwenye kipindi kigumu hivi sasa, hivi unawezaje kuwa na ujasiri wa kumulahumu JPM katika masuala yanayo tokana na a natural disaster, lawama zako na and all sorts of inuendos kuhusu JPM zinadhilisha mapungufu makubwa kwenye analytical mind ya mleta mada/yako - binafsi nachukulia hoja zako zina element of sadism ndani yake driven by rabid hatred of ruling party and Magufuli in particular - si bure. Tuna imani kwamba JPM atatuvusha Rubicon eventually maoni yenu notwithstanding.
 

Kujenga hoja ni kitu rahisi. Kujenga hoja ya nguvu siyo rahisi kama ilivyo kujenga hoja tu.
 
Sasa unasema natural disaster kuwa asilaumiwe Magufuli, alafu hapohapo unamatumaini et atakuvusha! Idiot.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo tunajua kidogo lkn tunaongea sana hivi hatupendi hata kusoma tatizo linakuwa kubwa zaidi!!
MTU anadhani unanunua tuu kifaa kwahiyo milioni 30 unaenda weka kwenye kachumba kokote unaanza kupima corona!!
Hivi vitu vya kitaalamu tusiingilie kiujuaji tushauri kwa umakini lasivyo unajiaibisha bure. Mpaka sasa serikali yetu iko vizuri tuombe heri tunavyozidi kusikia mabaya nchi za wenzetu tatizo kunawatu wanatamani matatizo yawe makubwa ili yawabebe kwenye kampeni zijazo,that's very stupid
 
Hivyo vifaa ni dawa ya Corona au taka taka tu.
Mnavyopenda kupokea, mtapokea na mask used kutoka china ngoja Corona iishe muone, mtaletewa container hata 10 za msaada.
 
Wanajua sisi ni maiti so they don't care,hata tukifa Kama kuku hakuna tutachofanya,wewe huoni humu jamvini nyuzi zinavyopishana watu wakisifu strategy ya tufunge na kuomba za bwana Magufuli? Nchi hii ni nzuri Ila haina raia bali Ina watu wengi sana but raia wachache so no one cares
 
Sasa unasema natural disaster kuwa asilaumiwe Magufuli, alafu hapohapo unamatumaini et atakuvusha! Idiot.

Sent using Jamii Forums mobile app

There you are, majibu yako yanaonyesha kumbe maoni yangu kuhusu wewe yalikuwa sahihi tangu mwanzo - nilisema, na hapa nuridia tena kusema kwamba "tatizo lako una chuki binafsi na JPM pamoja na Chama tawala" kama unafikiri comments zako za kuponda ponda JPM zitawasaidieni kuingia Ikulu - hilo sahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…