GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hofu imetanda kwa baadhi ya wazazi kuhusu usalama na ustawi wa watoto wao kufuatia matukio ya ukatili yanayowatokea watoto ambapo kwa mujibu ripoti ya polisi kwa mwaka 2023 imeonyesha matukio 30 hutokea dhidi ya watoto kila siku.
Hatua hiyo imewafanya wazazi wa Mtaa wa Kibonde maji Mbagala, Dar es Salaam kuchukua hatua ya kuwalinda watoto wao wenyewe kutokana na kushtushwa na vifo vya watoto vilivyotokea hivi karibuni kutokana na ubakaji.
Chanzo: azamtvtz
Yaani Mkoa una Malaya hadi wa Kukopa kila Kona, lakini bado unalikuta Lipumbavu linaenda Kubaka Mtoto Mdogo.