Hii ni aibu, mkuu wa nchi analalama juu ya ukosefu wa maji wakati taifa lina waterbodies za kutosha kusambaza maji nchi nzima

Hii ni aibu, mkuu wa nchi analalama juu ya ukosefu wa maji wakati taifa lina waterbodies za kutosha kusambaza maji nchi nzima

Tukana kabisa sasa hivi!! Hakuna tusi jipya kwa taarifa yako
Hivi Magufuli alimfanyia kipi mkeo ambacho sicho cha kawaida kwa mwanamke kufanyiwa hapa Duniani kama kutunzwa na kutunzwa na kuhudumiwa vizuri ?!
 
Maziwa hayana maji safi. Wananchi wanajisaidia ndani ya hayo maziwa, nani atatumia hayo maji? Hata samaki wa hayo maziwa hatutaki. Yasafishwe kwanza na watu wa karibu nayo waelimishwe.
 
Mambo hayapo kama unavolaumu mzee, Ila kuna shida mahali
Kweli, sijawahi kusikia hakuna hela kwa ajili ya uchaguzi au sherehe, ila kukosekana kwa hela za kusambaza maji ni kawaida.
Jana mamilion yametumika kusherehekea majibu ya sensa.
 
Ndiyo maana kumbe unamchukia marehemu wa watu kumbe hakufanya vyema na unayo haki ya kumchukia.
Sawa, tuendelee sasa kujadili uhayawani wake. Alikata miti zaidi ya 5 Milioni na hili ndiyo kisa cha huu ukame
 
Back
Top Bottom