Hiyo ni sababu ya kitoto tu ni kichaka tu cha kujifichia,lakini ukweli ni kuwa viongozi hawana mbinu bora ya kumaliza tatizo hilo la maji??yaani nchi nzima imezungukwa na mito,maziwa,bado msingizie eti ukame?!!Haya nenda MWANZA,ziwa liko km 0 lakini kuna shida ya maji hilo linakuonyesha kuna sehemu kuna shida.Leo mnakuja eti na nishaji jadidifu,kwa kuwapa lawama wananchi kutumia kuni/mkaa wakati sababu iko wazi ni umaskini,kuna mtu anapenda kuvuta moshi?!!bei ya gesi iko juu,NLG,mmeiuza.Shukuruni tu asillimia 80 ya wananchi hawajitambui.