Hii ni aibu, mkuu wa nchi analalama juu ya ukosefu wa maji wakati taifa lina waterbodies za kutosha kusambaza maji nchi nzima

mungu wa Chato alikuwa haambiliki, alikata miti takriban 4-6 Milion kupisha ujenzi wa bwawa la JNHPP. Tulipokosoa mliona tunampinga DIKTETA.

Sasa athari za UHAYAWANI wa Magufuli tunazipata upfront, nanyi misukule ya Mwendazake mnamlaumu Rais Samia. Pumbavu zenu kabisa
Punguani mkubwa
 
Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!

Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.

Una Ziwa Tanganyika.

Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.

Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?

Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
mpumbavu wewe. huyo hayati alisambaza kutoka wapi hadi wapi?
embu tuachie ujinga wako wa kuwasema vibaya watu kila kukicha kwa chuki zako
Hayati alihamisha makao makuu kwenda dodoma leo dodoma kuna maji?
kumfufue uzikwe wewe ili alete maji
 
Hujui kama sasa maji yamefika Tabora? Hujui kuna ungio pale Igunga? Mzee baba msingemuua maji yangefika Dodoma mpaka Dar.
 
hizo ni project zilianza tangu enzi za kina ben wewe... shida yako mjini ulikuja kusoma.
mungu ndiye aliyemuua kuepusha nchi yetu kutawaliwa na kiongozi NYAPARA/DICTATOR UCHWARA.
Aliiba uchaguzi 2020 na kupeleka misukule yake kina gwajima bungeni ili atawale milele mungu akampiga ngala..
Alipora korosho za wakulima huko kusini akitumia JWTZ kwa ghiriba na uongo wake... mungu akamfyeka sasa kusini ni neema
alikataa kuwaongezea watumishi mishahara na kuwapandisha madaraja huku akiwaita wezi ... mungu akapiga ngwala fyekelea mbali
alipandisha makato ya mikopo toka 8-15% mungu akapiga mweleka sasa imepunguzwa tunaishi kwa amani
Alimpiga risasi Tundu lisu akidanganya kuhusu madini na makinikia ... yeye mungu akamuua kabisa Tundu lisu yu hai anadunda kama chuma cha pua
MUNGU FUNDI
KAMFUFUE UZIKWE WEWE
 
Pumbavu mbwa wewe
 
Pumbavu mbwa wewe
ndiyo mwisho wako wa kufikiria huo... sikushangai.
mimi siyo mbwa ndo mana nikaweza kuandika na kukujibu usichoweza kujibu
MUNGU ANAWAPENDA SANA WATANZANIA. HAKUPENDA WATAWALIWE NA NYAPARA/DICTATOR UCHWARA
KALIFYEEEKA
 
Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!

Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.

Una Ziwa Tanganyika.

Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.

Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?

Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Maj
IMG-20221101-WA0005.jpg
i yapo mengi Tu. Tatizo tunaoongozwa na njaa
 
mungu wa Chato alikuwa haambiliki, alikata miti takriban 4-6 Milion kupisha ujenzi wa bwawa la JNHPP. Tulipokosoa mliona tunampinga DIKTETA.

Sasa athari za UHAYAWANI wa Magufuli tunazipata upfront, nanyi misukule ya Mwendazake mnamlaumu Rais Samia. Pumbavu zenu kabisa
Mkuu huyo kwenye avatar ni wewe, umenikumbusha mbali " amekuinua"
 
Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!

Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.

Una Ziwa Tanganyika.

Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.

Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?

Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Kumbuka kuwa maji ya Ziwa Victoria yanatumika Tabora, kumbuka kuna mabilioni ya shilingi yanatumika sasa hivi kwa ajili ya miradi ya maji mikoani.

Ungekuwa una majukumu makubwa kama rais ungeelewa mengi kuliko kuleta siasa zilizofilisika humu jukwaani.

Mkaa wote unaotoka Pwani unatumika jijini Dar, na hali imekuwa hivi tangu awamu za kina Mkapa na Mwinyi, usishangae Pwani kuwa jangwa kumbuka ni kwa matumizi ya vyakula vya jiji la Dar.

Unajishusha thamani yako kwa kuabudu kiongozi aliyekwisha aga dunia mwaka mmoja na nusu uliopita.
 
JPM alikuwa ni a populist president alitengeneza hawa kina Nyankurungu2020 wengi tu, wametapakaa kila sehemu.

Alipenda kupendwa zaidi kuliko chochote kile akatengeneza chuki dhidi ya tabaka fulani bila ya kujiuliza madhara ya chuki ile yatadumu kwa miaka mingapi huko mbeleni.

Mungu aendelee kumhifadhi mahali pema peponi.
 
Maziwa hayana maji safi. Wananchi wanajisaidia ndani ya hayo maziwa, nani atatumia hayo maji? Hata samaki wa hayo maziwa hatutaki. Yasafishwe kwanza na watu wa karibu nayo waelimishwe.
Heee!!mkuu unafahamu juu ya ulichokiandika!!!Mwanza,bukoba,Musoma,na sasa Shinyanga si wanatumia maji ya ziwa victoria?!!
 
Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!

Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.

Una Ziwa Tanganyika.

Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.

Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?

Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
CCM mafanikio yao ya miaka 60 ya Uhuru ni sera ya kufyatua watoto...!!
 
Pwani yote imekuwa jangwa malori mengi ya mkaa kila siku yanatoka wilaya za mkoa huo kuuleta Dar halafu mtu anashangaa huu ukame unakuja vipi.
Hiyo ni sababu ya kitoto tu ni kichaka tu cha kujifichia,lakini ukweli ni kuwa viongozi hawana mbinu bora ya kumaliza tatizo hilo la maji??yaani nchi nzima imezungukwa na mito,maziwa,bado msingizie eti ukame?!!Haya nenda MWANZA,ziwa liko km 0 lakini kuna shida ya maji hilo linakuonyesha kuna sehemu kuna shida.Leo mnakuja eti na nishaji jadidifu,kwa kuwapa lawama wananchi kutumia kuni/mkaa wakati sababu iko wazi ni umaskini,kuna mtu anapenda kuvuta moshi?!!bei ya gesi iko juu,NLG,mmeiuza.Shukuruni tu asillimia 80 ya wananchi hawajitambui.
 
Mbinu ni pesa lipa Kodi pesa ipatikane..
 
Back
Top Bottom