Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri hiyo wiki Moja maana siyo mbali halafu turudi hapaPamoja na miti kukatwa iyo ni sababu moja lakini siyo sababu ya kukosekana maji leo
Ukitaka kujua hiyo
Baada ya wiki moja kutoka sasa maji yatakuwepo
Sasa kwa akili za kawaida sijui hiyo miti ndiyo itakuwa imeshaota au mvua zitakuwa zimenyesha
Huyo fedhuli hawezi kulala salama kamwe. Damu za wasio na hatia alizomwaga ndiyo zimempeleka KUZIMULala salama MAGUFULI,,,
Kila nafsi itaonja umauti,,,
ni suala la muda tu..
Lala salama Mzee wetu..