Hii ni aibu sasa, US wameingia Iran na kumuokoa rubani wa pili

Hii ni aibu sasa, US wameingia Iran na kumuokoa rubani wa pili

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Yaani kama movie vile, marubani wote wawili wameokolewa ndani ya ardhi ya Iran, hainingii akilini kwamba makobaz wamechapika kiasi cha kushindwa hata kujishikia hao marubani wawili. Hata hivyo Marekani mbona walitumia ndege ya F-15 ambayo ni non-stealth mode, kwa sasa waendelee kupiga kwa F-35 mpaka Iran itakapokua shamba ndio waanze kuingiza mindege ya hali ya chini kama hiyo.
=======================

An American airman who went missing after Iran shot down an F-15 fighter jet has been rescued after a “heavy firefight”, a US government official told Al Jazeera.

Two crew members had ejected from the plane after Tehran’s forces downed it on Friday, one of whom was located shortly after the crash.

The ensuing manhunt for the missing pilot triggered a race between Iranian and American forces as the Islamic Republic offered a $60,000 bounty for their capture.
 
Ndio maana ya superpower mkuu, Iran sasa hivi inaongozwa na wahuni viongozi wao wote wameshakufa ni vile tu US na IDF wanapiga kimkakati ila wangekuwa wanapiga kama Iran inavofanya basi Iran yote ingekuwa magofu
 
Hapo wala hakuna aibu maana factors zipo nyingi sana.

Ndege kutunguliwa baada ya Rais kudai Iran haina ulinzi wa anga, yenyewe si aibu…..lakini wanaanga waliotunguliwa na ambao wakajificha, na baadaye kuokolewa na wenzao ndo aibu?

Ushahidi kwamba wameokolewa uko wapi?
 
Kuna namna nimefiriki yawezekana hata urusi, China na North Korea ni wachumba tu kwa Iran katika medali ya kivita🤔
Kwa China na Russia hapana.

Kuna components nyingi bado Iran inaimports kutoka Russia na China kutengeneza silaha

Bado pia intel, mfano Iran wanatumia BeiDou satellite ya China kuguide missiles na drones zao na ndio maana wamekuwa na accuracy kubwa kwenye targeting

Wangekuwa wanatumia GPS ya Marekani wangekabili sana jamming

Russia na China wako miles ahead ukilinganisha na Iran kwenye game la technical warfare
 
Fikiria , mfano ni Iran na Russia wangekua wanapigana ,halafu wapo karibu karibu kama Russia na Ukraine walivyo🤔
 
Iran kaweka heshima kubwa duniani, hakuna aliyetegemea Iran atachangiwa na Israel na US na kuonyesha kujitetea kwa kiasi kikubwa hivyo, Hakika Iran ni taifa Dume👏

Kumbuka Israel wanapiga kimkakati, hawaipigi Iran ila wanapiga jeshi la Iran, maana kwamba wanapiga popote penye ishara za kijeshi, wameacha mengine yote yakiwemo ikulu, bunge na mifumo yote ya kiraia na kiuongozi, ila Iran wanatuma makombora bila kujali yanapiga chekechea au wapi, uzuri yanadunguliwa.
 
Sawa kale pasaka , mimi sio fala naona na nina fuatilia
 
Iran katuheshimisha mno baada ya hii vita nadhani kwenye ranking ya mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi Iran itapanda sana
Iran Haina jeshi wahuni TU wale.. wale hata Redbridge wa chadema wamewazidi.. hao wanajeshi wameshindwa kwalinda viongozi wao wanao uliwa kma kuku

Abdolrahim Mousavi — Mkuu wa Majeshi ya Iran (Chief of the General Staff)

Aziz Nasirzadeh — Waziri wa Ulinzi na kamanda wa zamani wa anga

Hossein Salami — Kamanda Mkuu wa IRGC (aliuwawa 2025)

Mohammad Bagheri — Mkuu wa Majeshi ya Iran (Chief of Staff)

Amir Ali Hajizadeh — Kamanda wa Jeshi la Anga la IRGC

Gholamreza Soleimani — Kamanda wa Basij paramilitary force

Ali Shamkhani — Mshauri mkuu wa usalama (alihusika na masuala ya kijeshi)

Gholamali Rashid — Kamanda wa Khatam al-Anbiya Central Headquarters

Mohammad Shirazi — Mkuu wa ofisi ya kijeshi ya Kiongozi Mkuu
 
Sawa kale pasaka , mimi sio fala naona na nina fuatilia

Utakua fala kama unafuatilia na hauelewi, usichokijua Israel wana makombora kama Jericho-3 advanced IRBM/ICBM na uwezo wa kuyatuma blindly kuelekea Iran bila kujali yatapiga wapi kama namna Iran wanavyofanya kuelekeza Israel kigaidi gaidi kama ilivyo dini yenu, ila Israel hawana ugomvi na Wairan, nia yao ni dhidi ya uongozi tu.
 
Haya nenda kanisani
 
Fikiria , mfano ni Iran na Russia wangekua wanapigana ,halafu wapo karibu karibu kama Russia na Ukraine walivyo🤔
Iran bado hana modern Air Force fleet na air defense wasingeweza kuzuia mashambulizi ya air to air au land to air kutoka Russia si unaona kinachomkuta Ukraine

Kama ilivyo kwa Marekani na Israel, Russia angeweza kuingia anga la Iran na kushambulia

Ila Russia nao wangesulubiwa na Shahed drones na missiles. Swali ni Iran wangetumia satellite navigation system ipi kuziongoza drones na missiles zao kwa usahihi GPS, BeiDou au Galileo?

Na je, missiles za Iran zisingezuiwa na air defense za Russia S-400?
 
Back
Top Bottom