Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Tukiwaambiaga hamna akili nyinyi Pro Ukraine msiseme tumewatukana.Siku NATO watatia guu pale Ukraine sidhani kama Urusi itaweza kusimama hata siku moja ikiwa mpaka leo inahenyeshwa na kainchi jirani Ukraine
Hivi vile vikao vya NATO na all West kuchangisha silaha,fadha na vikwazo Kwa ajili ya kumsaidia Ukraine ili amdhoofishe Urusi huaga hamvioni?
Hicho ki Ukraine kinaweza kusimama peke yake bila hao NATO hata Kwa wiki mbili?
Trump aliwaambie EU kwamba bila yeye Urusi hamwamuwezi,haya aliyasema akiwa oval office.
Trump alimwambia zele hivyo hivyo.
Kila siku tumekua tukiona makamanda wa NATO wakifukiwa kwenye ma bunker huko Ukraine,je walikua wanenda Picnic huko?
Hivi nyinyi Pro Zelensky mbona mna VICHWA vigumu.
Au tuanze Tena kuwawekea ushahidi wa misaada anayopata Ukraine kutoka nchi zote za west?
Unazikimbuka Himmers, Storm shadow,Patriots,ATTACMs,Abrahams, Leopards, Challengers, na silaha Bora zooote za west?
Tena uzuri Urusi kazichukua zooote zilizopigwa ama kutekwa ama kutelekezwa kaenda kuziweka kama makumbusho na maonesho ili wabishi kama wewe muwe mnaenda kujiridhisha.
Uzuri wa vita ni matukio ya wazi ukitaka kuniprove wrong kua Urusi haipigani na West yote nenda Urusi Ukaone maonesho ya silaha za nchi zote za west zilizokamatwa na urusi katika uwanja wa maonesho na makumbusho ya silaha hizo.
Acheni ubishi wa kitoto Urusi katika medani za vita kawatangulia Mabeberu.
Narudia Tena .
Hakuna nchi yoyote hapa duniani ingeweza kupambana na all collective west na ikabaki salama.
Hakuna.