Iran ana full information View attachment 3567797
Hao kwasasa wapo kama kuku waliokatwa vichwa.Kwa hiyo jeshi la Iran wakati huo lilikuwa wapi ??
Waambie Wairan watuonyeshe pi ha au video za hao marubani kama wanao sasaHakuna Hata Rubani mmoja alieokolewa na US
Ayatolah hajauwawa.Hakuna Hata Rubani mmoja alieokolewa na US
Marekani walishambulia Kwa mabomu ili kumuua hivyo mpaka sasa IRGC hawajasema chochote na Kuna uwezakano wameuawa wengi zaidi maana ndege tatu zimelipuliwa katka eneo Hilo, Nita confirm sio muda siwezi kukurupuka na newz za Trump, IRGC husema ukweli daima Kama Kuna kifo au missingAyatolah hajauwawa.
Yule sio Netanyau ni AI.
Marekani anatembezewa mkong'oto hii vita.
Wazee wengi hatujapendezwa na uvamizi wa Marekani huko Irani lakini kujazana taarifa za kujifariji haisaidii kitu.
Ndugu mbona unapwaya?Fikiria , mfano ni Iran na Russia wangekua wanapigana ,halafu wapo karibu karibu kama Russia na Ukraine walivyo🤔
Lol,Kuna namna nimefiriki yawezekana hata urusi, China na North Korea ni wachumba tu kwa Iran katika medali ya kivita🤔
🖕Lol,
Umeshindwa kuwaza Nje ya box.
Wacha weeee. Muajemi wa Nanjirinjiri akiripoti na akiwa na taarifa za kiitelejensia na kijeshi za hali ya juu kuliko Rais Trump wa Marekani.Hakuna Hata Rubani mmoja alieokolewa na US
Wacha weeee. Muajemi wa Nanjirinjiri akiripoti na akiwa na taarifa za kiitelejensia na kijeshi za hali ya juu kuliko Rais Trump wa Marekani.
Unaripoti moja kwa moja toka Tehran au sio?
Haya bana Asante,Haina shida.
Jana zilipigwa sana ardhini mbona basiji wameuawa wengi. RT wameonyeshaPengine shida yao ilikuwa ni kutungua ndege na si kuteka rubani
Wewe toa ushahidi kuwa hawajaokolewaHapo wala hakuna aibu maana factors zipo nyingi sana.
Ndege kutunguliwa baada ya Rais kudai Iran haina ulinzi wa anga, yenyewe si aibu…..lakini wanaanga waliotunguliwa na ambao wakajificha, na baadaye kuokolewa na wenzao ndo aibu?
Ushahidi kwamba wameokolewa uko wapi?
watu hawataki kubali wameshindwa.inaonekana uko nae. tuma picha basi lol
Nimeona video pia wametembezewa sana. Ila hawakujitambua maana A10 inamwaga hadi 6000 kwa dakikaJana zilipigwa sana ardhini mbona basiji wameuawa wengi. RT wameonyesha
Ubora wa kufanya ugaidi kwenye mataifa mengine sio leo tu kaanza kuonyeshawatu hawataki kubali wameshindwa.
Maana yake Marekani kakaa ndani ya Iran toka Ijumaa hadi Jumapili na kafanikiwa lengo lake bila majeruhi.
Hii inamaanisha Marekani ataweza vamia na kumeteka mtu bila kizuizi.
Kwa ufupi 2026 Marekani kaonesha ubora wa hali ya juu