Iran katuheshimisha mno baada ya hii vita nadhani kwenye ranking ya mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi Iran itapanda sanaIran kaweka heshima kubwa duniani, hakuna aliyetegemea Iran atachangiwa na Israel na US na kuonyesha kujitetea kwa kiasi kikubwa hivyo, Hakika Iran ni taifa Dume👏
Kuna namna nimefiriki yawezekana hata urusi, China na North Korea ni wachumba tu kwa Iran katika medali ya kivita🤔Iran katuheshimisha mno baada ya hii vita nadhani kwenye ranking ya mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi Iran itapanda sana
Kwa China na Russia hapana.Kuna namna nimefiriki yawezekana hata urusi, China na North Korea ni wachumba tu kwa Iran katika medali ya kivita🤔
Fikiria , mfano ni Iran na Russia wangekua wanapigana ,halafu wapo karibu karibu kama Russia na Ukraine walivyo🤔Kwa China na Russia hapana.
Kuna components nyingi bado Iran inaimports kutoka Russia na China kutengeneza silaha
Bado pia intel, mfano Iran wanatumia BeiDou satellite ya China kuguide missiles na drones zao na ndio maana wamekuwa na accuracy kubwa kwenye targeting
Wangekuwa wanatumia GPS ya Marekani wangekabili sana jamming
Russia na China wako miles ahead ukilinganisha na Iran kwenye game la technical warfare
Iran kaweka heshima kubwa duniani, hakuna aliyetegemea Iran atachangiwa na Israel na US na kuonyesha kujitetea kwa kiasi kikubwa hivyo, Hakika Iran ni taifa Dume👏
Sawa kale pasaka , mimi sio fala naona na nina fuatiliaKumbuka Israel wanapiga kimkakati, hawaipigi Iran ila wanapiga jeshi la Iran, maana kwamba wanapiga popote penye ishara za kijeshi, wameacha mengine yote yakiwemo ikulu, bunge na mifumo yote ya kiraia na kiuongozi, ila Iran wanatuma makombora bila kujali yanapiga chekechea au wapi, uzuri yanadunguliwa.
inaonekana uko nae. tuma picha basi lolBado hawajamuokoa
Iran Haina jeshi wahuni TU wale.. wale hata Redbridge wa chadema wamewazidi.. hao wanajeshi wameshindwa kwalinda viongozi wao wanao uliwa kma kukuIran katuheshimisha mno baada ya hii vita nadhani kwenye ranking ya mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi Iran itapanda sana
Sawa kale pasaka , mimi sio fala naona na nina fuatilia
Haya nenda kanisaniUtakua fala kama unafuatilia na hauelewi, usichokijua Israel wana makombora kama Jericho-3 advanced IRBM/ICBM na uwezo wa kuyatuma blindly kuelekea Iran bila kujali yatapiga wapi kama namna Iran wanavyofanya kuelekeza Israel kigaidi gaidi kama ilivyo dini yenu, ila Israel hawana ugomvi na Wairan, nia yao ni dhidi ya uongozi tu.
Iran bado hana modern Air Force fleet na air defense wasingeweza kuzuia mashambulizi ya air to air au land to air kutoka Russia si unaona kinachomkuta UkraineFikiria , mfano ni Iran na Russia wangekua wanapigana ,halafu wapo karibu karibu kama Russia na Ukraine walivyo🤔
Picha zao wakiwa wamemuokoa ziko wapi?inaonekana uko nae. tuma picha basi lol
Itapandaje nainabomolewa unaijua ilivyokua Iraq enz kabla yauvamizi wamarekan, USA wanakuacha naukilema wamaishaIran katuheshimisha mno baada ya hii vita nadhani kwenye ranking ya mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi Iran itapanda sana