Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Wewe umewahi kuchangia kiasi gani zaidi ya kufanya ufisadi tu!!Jamani imefikia wakati kama watanzania tunatakiwa tubadilike.
Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili...
Nimecheka sababu umeleta masuala ya uchama ili hali hii ishu haina masuala ya chama. Mgeni mkubwa kama huyu hakupaswa kuhusishwa na ishu ndogo kama hizi,angemaliza ishu kubwa kama ujenzi wa Sgr basi.Chadema ndio maana Mimi niliapa kuwa sikubali mshinde niko tayari hata kukimbia na box la kura msaada ni msaada huwezi mpangia tajiri akupe nini hivi nyie chadema mlishatoa hata mlo mmoja kulisha walemavu?
Hawakuombwa kama Wang yi alivyoombwa kutia mguu Chato.Hao wafanyabiashara wa katoro walikuwa wapi kabla ya Wang yi kutoa hicho kitita?
Kwani like V8 la Mkurugenzi wa Geita linathamani ya shilingi ngapi?Tuifiche aibu yetu kwa kumshukuru aliyetuchangia. Kiasi hicho ni kikubwa sana hasa kipindi hiki cha mdororo wa uchumi duniani kote.
Pia hela aliyoichangia huyo kiongozi wa china ukute ni hela kutoka kwenye pokcket money yake na si mfuko wa serikali yake hivo kwa kiasi hicho alichotoa ukute amejikamua vya kutosha hivyo huyo kiongozi anapaswa kupongezwa na si kuubeza msaada alioutoa
Hao wafanyabiashara wa katoro walikuwa wapi kabla ya Wang yi kutoa hicho kitita?
endelea kulamba miguu ya beberuHao wafanyabiashara wa katoro walikuwa wapi kabla ya Wang yi kutoa hicho kitita?
Tuifiche aibu yetu kwa kumshukuru aliyetuchangia. Kiasi hicho ni kikubwa sana hasa kipindi hiki cha mdororo wa uchumi duniani kote.
Pia hela aliyoichangia huyo kiongozi wa china ukute ni hela kutoka kwenye pokcket money yake na si mfuko wa serikali yake hivo kwa kiasi hicho alichotoa ukute amejikamua vya kutosha hivyo huyo kiongozi anapaswa kupongezwa na si kuubeza msaada alioutoa
atachanga madola siku akialikwa china kama waziri wa mambo ya njeWewe umewahi kuchangia kiasi gani zaidi ya kufanya ufisadi tu!!