Kazi ya mataga ni moja tu:Chadema ndio maana Mimi niliapa kuwa sikubali mshinde niko tayari hata kukimbia na box la kura msaada ni msaada huwezi mpangia tajiri akupe nini hivi nyie chadema mlishatoa hata mlo mmoja kulisha walemavu?
Dogo mbona unatia aibu vijana wako wa ufipa? Umesahau wewe ni kamanda mkuu? Sababu kuna mabasi kibao ndio watu wa Mza hawahitaji gharama nafuu? Hujui cement kwa sasa ni karibu elfu 20 kwa mikoa ya kanda ya ziwa? Hujui treni itapunguza gharama za usafiri na kupoza bei za bidhaa?
KILICHOFANYIKA CHATO NI SAWA NA KUMUALIKA BAKHERESA KWENYE HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA SHULE AU HOSPITAL AMBAYO MOJA KATIKA YA WADI ITAITWA JINA LAKE UNATARAJIA ATATOA SHILINGI NGAPI KUJUA UCHUMI SIYO LAZIMA UWE LIPUMBA SERIKALI ILIJUA AKIPEWA JINA LA UKUMBI WA HICHO CHUO LAZIMA ZIMTOKE ZA KUTOSHA NA LENGO LIMEFANIKIWA AIBU IKO WAPI TUMIA AKILI NA SIYO LAWAMA WAFANYA BIASHARA WA KATORO WAMECHANGIA MAMBO MENGI SANA HIVYO HAWAHITAJI KUSUMBULIWA MH. KIKWETE WAKATI ALIWAHI KUSEMA KUHUSU BUGANDO UKITAKA KULA LAZIMA UKUBALI KULIWA NA BUGANDO IKAITWA WEIR BUGANDO NA FEDHA IKATOKA SASA WEWE UNALALAMIKA NINI?Jamani imefikia wakati kama Watanzania tunatakiwa tubadilike.
Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili.
Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni fedheha kwetu.
Hii pesa ilipaswa kuchangwa na wafanyabiashara wa dhahabu Katoro na kuikabidhi kwa Veta Chato, sio kutolewa kama msaada na waziri wa taifa kubwa kama China.
Tusipende kudhalilishwa kwa misaada midogo kama hii. Hata kama unatakiwa usichague cha kupewa,lakini inatakiwa tufikie hatua tuchague.
My take; Tuwe makini sana juu ya misaada kama hii, ikumbukwe huko nyuma babu yetu Sultan Mangungo alishawahi kubugi na ikawa fedheha kwa Watanzania.
tindo hukusema Mozambique wanajenga LNG plant,bali ulisema wanajenga gas plant kama za Kinyerezi. Kitu ambacho haziwezi kugharimu Usd bil 20. Tuachane na hilo.Unafuu wa gharama ya usafiri hauna uhusiano wowote na kutokuwa na uhaba wa usafiri. Labda kama hujui hoja yangu ilikuwa nini. Kabla ya treni kuanza safari za kwenda Arusha bei ya cement ilikuwa chini ya 15,000. Sasa hivi treni inaenda huko bei ni zaidi shilingi 16,000. Ni kweli treni inaweza kupunguza bei ya usafiri, lakini bei sio kigezo pekee cha watu kuhamia kwenye treni.
Nje ya mada, kuna siku nilikuambia Mozambique inajenga LNG ya $20b ukahamaki. Sasa jiongeze kuujua ukweli huo.
Dah!KILICHOFANYIKA CHATO NI SAWA NA KUMUALIKA BAKHERESA KWENYE HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA SHULE AU HOSPITAL AMBAYO MOJA KATIKA YA WADI ITAITWA JINA LAKE UNATARAJIA ATATOA SHILINGI NGAPI KUJUA UCHUMI SIYO LAZIMA UWE LIPUMBA SERIKALI ILIJUA AKIPEWA JINA LA UKUMBI WA HICHO CHUO LAZIMA ZIMTOKE ZA KUTOSHA NA LENGO LIMEFANIKIWA AIBU IKO WAPI TUMIA AKILI NA SIYO LAWAMA WAFANYA BIASHARA WA KATORO WAMECHANGIA MAMBO MENGI SANA HIVYO HAWAHITAJI KUSUMBULIWA MH. KIKWETE WAKATI ALIWAHI KUSEMA KUHUSU BUGANDO UKITAKA KULA LAZIMA UKUBALI KULIWA NA BUGANDO IKAITWA WEIR BUGANDO NA FEDHA IKATOKA SASA WEWE UNALALAMIKA NINI?
Hata sasa chagu wa malunde tunayo treni japo ya kizamani lakini maisha haikuwahi kurekebikatindo hukusema Mozambique wanajenga LNG plant,bali ulisema wanajenga gas plant kama za Kinyerezi. Kitu ambacho haziwezi kugharimu Usd bil 20. Tuachane na hilo.
Kuhusu treni kataa usikatae ina umuhimu mkubwa sana kwa maisha ya watanzania. Na itapunguza gharama za maisha kwa 50%. Hivyo tulia na acha ushabiki wa kisiasa.
Jaduong wewe ni shahidi, treni ilipokuwa inafanya safari za Mwanza full time miaka ya ya nyuma kabla ya Trc kufa sio sawa na leo hii. Maisha ya Mwanza yamebadilika sana. Najua unafahamu ukweli ila unaleta ushabiki.Hata sasa chagu wa malunde tunayo treni japo ya kizamani lakini maisha haikuwahi kurekebika
HABARI NDIYO HIYO MKUU AKILI MUKICHWA MCHINA KAJILIPUA KWA KUPEWA UKUMBI UTUMIE JINA LAKEDah!
usiwe mbishi treni inalinda barabara hata kama bei haishukiHata sasa chagu wa malunde tunayo treni japo ya kizamani lakini maisha haikuwahi kurekebika
Nimekupa mfano wa bei ya cement kabla na baada ya treni kwenda huko Arusha, sasa sijui ww unapata wapi uhakika wa bei kuwa nafuu kwa reli ya mkopo?tindo hukusema Mozambique wanajenga LNG plant,bali ulisema wanajenga gas plant kama za Kinyerezi. Kitu ambacho haziwezi kugharimu Usd bil 20. Tuachane na hilo.
Kuhusu treni kataa usikatae ina umuhimu mkubwa sana kwa maisha ya watanzania. Na itapunguza gharama za maisha kwa 50%. Hivyo tulia na acha ushabiki wa kisiasa.
Unaniona mimi bwege?Nimekupa mfano wa bei ya cement kabla na baada ya treni kwenda huko Arusha, sasa sijui ww unapata wapi uhakika wa bei kuwa nafuu kwa reli ya mkopo?
Unaniona mimi bwege?
ebu msikilizage taarifa vizuri jmn hipesa ametoa yy km yy kusaidia uvuvi hapo chato.Jamani imefikia wakati kama Watanzania tunatakiwa tubadilike.
Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili.
Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni fedheha kwetu.
Hii pesa ilipaswa kuchangwa na wafanyabiashara wa dhahabu Katoro na kuikabidhi kwa Veta Chato, sio kutolewa kama msaada na waziri wa taifa kubwa kama China.
Tusipende kudhalilishwa kwa misaada midogo kama hii. Hata kama unatakiwa usichague cha kupewa,lakini inatakiwa tufikie hatua tuchague.
My take; Tuwe makini sana juu ya misaada kama hii, ikumbukwe huko nyuma babu yetu Sultan Mangungo alishawahi kubugi na ikawa fedheha kwa Watanzania.
We kweli Dumu.Tuifiche aibu yetu kwa kumshukuru aliyetuchangia. Kiasi hicho ni kikubwa sana hasa kipindi hiki cha mdororo wa uchumi duniani kote.
Pia hela aliyoichangia huyo kiongozi wa china ukute ni hela kutoka kwenye pokcket money yake na si mfuko wa serikali yake hivo kwa kiasi hicho alichotoa ukute amejikamua vya kutosha hivyo huyo kiongozi anapaswa kupongezwa na si kuubeza msaada alioutoa
Dogo acha panick!Bwege kidogo sasa?
Mimi nachangia milioni 400.Sidhani kama kuna mtu kakatazwa kuchangia, so long as kuna nafasi ya kufanya hivyo changia tu.