Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
Naona wazee wa uchumi wa kati na wanaojidai hawataki Kinga ya Corona wamepewa za uso balaaa .

Unaweza kuta sio msaada,bali hatujapata maana hasa ya hii fedha iliyotolewa!.Mtu kutoka nyumbani kwake na kuja kwako kuna maana na malengo yenye makusudio mbalimbali.Jamani imefikia wakati kama Watanzania tunatakiwa tubadilike.
Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili.
Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni fedheha kwetu.
Hii pesa ilipaswa kuchangwa na wafanyabiashara wa dhahabu Katoro na kuikabidhi kwa Veta Chato, sio kutolewa kama msaada na waziri wa taifa kubwa kama China.
Tusipende kudhalilishwa kwa misaada midogo kama hii. Hata kama unatakiwa usichague cha kupewa,lakini inatakiwa tufikie hatua tuchague.
My take; Tuwe makini sana juu ya misaada kama hii, ikumbukwe huko nyuma babu yetu Sultan Mangungo alishawahi kubugi na ikawa fedheha kwa Watanzania.
Tena bila glovesNaona wazee wa uchumi wa kati na wanaojidai hawataki Kinga ya Corona wamepewa za uso balaaa .
Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili.
Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni fedheha kwetu.
Jamani imefikia wakati kama Watanzania tunatakiwa tubadilike.
Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili.
Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni fedheha kwetu.
Hii pesa ilipaswa kuchangwa na wafanyabiashara wa dhahabu Katoro na kuikabidhi kwa Veta Chato, sio kutolewa kama msaada na waziri wa taifa kubwa kama China.
Tusipende kudhalilishwa kwa misaada midogo kama hii. Hata kama unatakiwa usichague cha kupewa,lakini inatakiwa tufikie hatua tuchague.
My take; Tuwe makini sana juu ya misaada kama hii, ikumbukwe huko nyuma babu yetu Sultan Mangungo alishawahi kubugi na ikawa fedheha kwa Watanzania.
Hawa ni marafiki ndugu wa jadi wa CCM, inawezekana ni mchango wao wa tetemeko siyo msaada kama unavyodhani.Jamani imefikia wakati kama Watanzania tunatakiwa tubadilike.
Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili.
Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni fedheha kwetu.
Hii pesa ilipaswa kuchangwa na wafanyabiashara wa dhahabu Katoro na kuikabidhi kwa Veta Chato, sio kutolewa kama msaada na waziri wa taifa kubwa kama China.
Tusipende kudhalilishwa kwa misaada midogo kama hii. Hata kama unatakiwa usichague cha kupewa,lakini inatakiwa tufikie hatua tuchague.
My take; Tuwe makini sana juu ya misaada kama hii, ikumbukwe huko nyuma babu yetu Sultan Mangungo alishawahi kubugi na ikawa fedheha kwa Watanzania.
Lete wembe tuchaneZetu tumefungiaView attachment 1671225
Swali zuri sana,akikujibu nitagHao wafanyabiashara wa katoro walikuwa wapi kabla ya Wang yi kutoa hicho kitita?
Huyo babu yenu 'Sultan' Mangungo ni wa wapi aisee?Jamani imefikia wakati kama Watanzania tunatakiwa tubadilike.
Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili.
Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni fedheha kwetu.
Hii pesa ilipaswa kuchangwa na wafanyabiashara wa dhahabu Katoro na kuikabidhi kwa Veta Chato, sio kutolewa kama msaada na waziri wa taifa kubwa kama China.
Tusipende kudhalilishwa kwa misaada midogo kama hii. Hata kama unatakiwa usichague cha kupewa,lakini inatakiwa tufikie hatua tuchague.
My take; Tuwe makini sana juu ya misaada kama hii, ikumbukwe huko nyuma babu yetu Sultan Mangungo alishawahi kubugi na ikawa fedheha kwa Watanzania.
Dogo acha panick!
Watu wanajua kunwabwaja tu wakati ukweli hawajaupataebu msikilizage taarifa vizuri jmn hipesa ametoa yy km yy kusaidia uvuvi hapo chato.
Sasa unamwambia Nani!Jamani imefikia wakati kama Watanzania tunatakiwa tubadilike.
Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili.
Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni fedheha kwetu.
Hii pesa ilipaswa kuchangwa na wafanyabiashara wa dhahabu Katoro na kuikabidhi kwa Veta Chato, sio kutolewa kama msaada na waziri wa taifa kubwa kama China.
Tusipende kudhalilishwa kwa misaada midogo kama hii. Hata kama unatakiwa usichague cha kupewa,lakini inatakiwa tufikie hatua tuchague.
My take; Tuwe makini sana juu ya misaada kama hii, ikumbukwe huko nyuma babu yetu Sultan Mangungo alishawahi kubugi na ikawa fedheha kwa Watanzania.
Jamani imefikia wakati kama Watanzania tunatakiwa tubadilike.
Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili.
Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni fedheha kwetu.
Hii pesa ilipaswa kuchangwa na wafanyabiashara wa dhahabu Katoro na kuikabidhi kwa Veta Chato, sio kutolewa kama msaada na waziri wa taifa kubwa kama China.
Tusipende kudhalilishwa kwa misaada midogo kama hii. Hata kama unatakiwa usichague cha kupewa,lakini inatakiwa tufikie hatua tuchague.
My take; Tuwe makini sana juu ya misaada kama hii, ikumbukwe huko nyuma babu yetu Sultan Mangungo alishawahi kubugi na ikawa fedheha kwa Watanzania.
Shida ipo kwetu kwa nia njema kulichomekea hilo katika ziara ya fursa kwa China kujenga reli.Sidhani kama kuna mtu kakatazwa kuchangia, so long as kuna nafasi ya kufanya hivyo changia tu.