Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Walioua vitu hivi ni kina nani kama si wale walioko high table ?!. Leo tunapewa msaada chini bei gari moja , tunakenua meno !!.Jaduong wewe ni shahidi, treni ilipokuwa inafanya safari za Mwanza full time miaka ya ya nyuma kabla ya Trc kufa sio sawa na leo hii. Maisha ya Mwanza yamebadilika sana. Najua unafahamu ukweli ila unaleta ushabiki.
Akili ile ile iliyotufelisha, haiwezi kututoa mrisi . Kama huamini tuombe uhai awamu hii ifike mwisho , kama kutakuwa na cha kujivunia .