Hii ni aibu, tunatakiwa kubadilika. Msaada wa Waziri Wang Yi ni fedheha

Kamanda huwezi kuona ulivyobadilika. Sisi ndio tunakuona, any way tuliza mzuka na ujikite kwenye mada.
Sio nimebadilika, bali sikabadilishwa kuwa mnafiki kama trend ilivyo sasa ya kumsujudia mtu.
 
Wapuuzi kama hawa ndo wanafanya tunazidi kua na uchumi mgumu.
Majizi ya sisiemu bana😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
 
Sio nimebadilika, bali sikabadilishwa kuwa mnafiki kama trend ilivyo sasa ya kumsujudia mtu.
Hapo ndipo huwa unakosea bro, tofautisha kusujudia na kueleza ukweli. Wakati wa Jakaya mlikuwa mnatukana serikali usiku na mchana sababu ya uovu uliokuwa umetamalaki. Sasa hivi watu wanajitahidi kupambana na uovu, mnajifanya hamuoni.
 
Sasa hivi uovu unafanywa na mfumo, na watu hawathubutu kuusema ukweli maana ni kuhatarisha usalama wao. Unapozuia uhuru wa vyombo vya habari tu, moja kwa moja unatengeneza taifa lililoficha ukweli. Wakati wa JK vyombo vya habari vilikuwa huru ndio maana ukweli ulifahamika, japo uchukuaji wa hatua ulikuwa na madhaifu.

Kwa sasa mfumo ndio unasimamia uovu kama wizi wa kura, kubambikia kesi, kuteka, kuua wote wanaoikosoa serikali. Na taarifa nyingi za serikali zinafichwa ili kuhadaa umma kuwa mambo ni mazuri.
 
Haaa!maneno yako ni makali sana.
 
Chadema ndio maana Mimi niliapa kuwa sikubali mshinde niko tayari hata kukimbia na box la kura msaada ni msaada huwezi mpangia tajiri akupe nini hivi nyie chadema mlishatoa hata mlo mmoja kulisha walemavu?
Kwa akili hizo ndogo ulizo nazo wala hakuna wa kukulaumu! Ndivyo ulizaliwa na watu wa akili kama zako ndio wametufikisha hapa tulipo!
 
Kwani siyo hela hiyo? Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Kwahiiyo tuwakatae wahisani ,wafadhili wa maendeleo ,halafu iweje.
 
Hapo ndipo huwa unakosea bro, tofautisha kusujudia na kueleza ukweli. Wakati wa Jakaya mlikuwa mnatukana serikali usiku na mchana sababu ya uovu uliokuwa umetamalaki. Sasa hivi watu wanajitahidi kupambana na uovu, mnajifanya hamuoni.
Ahahahaaaa [emoji1787][emoji85]. Unapambana na uovo kwa kufanya uovu zaidi ?!. Hivi kuingia madarakani kwa nguvu siyo uovu ?!.

Tumewaona kina Trump wa Africa . Bora yule wa America amedhibitiwa na taasisi zenye nguvu. Zisizobabaikia uteuzi

Odhis *
 
Chukua like yangu ya upendo.
Huyo hawezi kukuelewa

Odhis *
 
Kweli Kabisaa.
Unajua kuna Watu akili zao zinafikilia wengine. Mleta uzi wewe umechangia shilingi ngapi?
Milioni 380 ni ndogo we are serious kweli.
Kiasi Hicho amekotoa siyo kwa kuombwa ameguswa na Chuo.
 
Mkuu

Usipotoshe kwa maslahi yako ya kisiasa.

Msaada uliotolewa ni kwa ajili ya chuo cha VETA CHATO kusaidia umaliziaji wa ununuzi wa vifaa vya ufundishaji maana kitajikita kwenye mafunzo ya matumizi ya vifaa au mashine za majini pamoja na uvuvi wenye tija.

Pamoja na msaada huo wa kifedha China itafadhili mafunzo ya teknolojia ya juu huko nchini China ili kuweza kumudu kuinua uchumi wa bluu

Tatu, waoziri kasema nchi yake iko tayari kuendelea kuinga mkno Tanzania katika jitihada zake za kukuza uchumi kwa kutoa uwezo unakaoiwezesha kuimarika zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…