Hii ni aibu, tunatakiwa kubadilika. Msaada wa Waziri Wang Yi ni fedheha

5tena

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Kwani nani hakusikia hayo? Ishu ni kupewa msaada wa mil 380 wakati ni pesa ambayo hata wananchi kumi wenye uwezo wangeweza kuchangia,kuliko kupatiwa na mgeni toka China. Huyu waziri alitakiwa amalize mambo muhimu kama ujenzi wa Sgr sio masuala madogo kama ishu za Veta.
 
Thou shalt not refuse a free lunch!
 
Siyo msaada ni rushwa.
 
Chadema ndio maana Mimi niliapa kuwa sikubali mshinde niko tayari hata kukimbia na box la kura msaada ni msaada huwezi mpangia tajiri akupe nini hivi nyie chadema mlishatoa hata mlo mmoja kulisha walemavu?
Yaaani unajifanya hujui mambo ya CHADEMA..?
Lema & Family.. Canada
Lisu & Family.. Belgium
19... kiajabu bungeni
01 MP....elected Nkasi
Sugu...hoteli chupuchupu
Imetengeneza D/Ministers
Na mengine mengi mazuri na mengine yenye mapungufu
 
Utasikia "tumejenga kwa fedha zetu wenyewe"!Kumbe Mangungo analamba viatu wakubwa huko na kuchukua hela za aibu!
 
Hao wafanyabiashara wa Katoro walikuwa wapi kabla ya Wang yi kutoa hicho kitita?
Swali zuri sana kuna watu huwa hawana jambo jema wao wanachojua ni kuponda tuu kila kitu, sasa ingetokea hao wafanya biashara wamechangishwa ungeona maneno yake, humu ndani pasingetosha.
 
Mwambie rais wako apunguze kujimwambafy wakati anajua fika kwamba hana pesa zozote za kumpa jeuri.
 
Chadema ndio maana Mimi niliapa kuwa sikubali mshinde niko tayari hata kukimbia na box la kura msaada ni msaada huwezi mpangia tajiri akupe nini hivi nyie chadema mlishatoa hata mlo mmoja kulisha walemavu?
Tanzania Tajiri Sana
 
Mkuu, tuseme ukweli tu hata Mo Dewji anaweza kutoa hizo.
Ingefaa zaidi kuita harambee au mchango na na si msaada wa nchi kubwa kwa nchi ndogo.
 
Nchini yenye uchumi wa kati haiwezi kukataa msaada ndungu
 
Kapotosha nini sasa kwani hatujapewa msaada wa 380m?
 
Tuwe makini sana juu ya misaada kama hii, ikumbukwe huko nyuma babu yetu Sultan Mangungo alishawahi kubugi na ikawa fedheha kwa Watanzania
Nyie huwa mnasubiri matukio mmpate cha kuongea
Huo msaada umetolewa Kwa hicho chuo,sio nchi,utasaidia kununua gari au basi na mambo mengi watakaoona inafaa
Wewe umetoa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…