Nchi ziko 195 duniani, sasa ukisema iko katika 100 top richest unamaanisha ni bora? Ungesema ipo katika top 10 au 20 hapo ungekuwa sawa.Brazil ipo top 100 ya nchi tajiri duniani. Ni member muhimu wa BRICS
Brazil ni Nchi inayoendelea ya Upper Middle ClassWewe nani alikwambia brazil ni matajiri?
Kwani ni masikini?Wewe nani alikwambia brazil ni matajiri?
Brazil ni taifa la 9 kwa nguvu za kiuchumi ulimwenguni sasa utaitaje eti ni nchi masikini?Nchi ziko 195 duniani, sasa ukisema iko katika 100 top richest unamaanisha ni bora? Ungesema ipo katika top 10 au 20 hapo ungekuwa sawa.
Mbona ww ndo mweupe ,kwa hiyo Brazil ni nchi masikini ndo ulivyo fundishwa?Jina lako linasadifu ubongo wako ulivyo mweupeee!.
Tena unauzidi GDP ya Brazil ni $2.123 trion wakati uchumi wa South Korea ni $1.6trion.Unakaribiana???
Licensed siyo ?hata Tañzania tuna kiwanda cha Magari !Utake usitake brazil pia wana kiwanda cha kuunda ndege.
GDP haikuanzishwa iki iwe kipimo cha uchumi, na haipimi uchumi vizuri, watu wameitumia vibaya tu.Mkuu Brazil ina GDP ya $1.2 trion ni nchi masikini?
Nimekaa huko mwaka na miezi 6Moja ya Shit hole countries ni Brazil. Kuna wizi na umasikini kule vibaya mno.
Lamikwani nchi tajiri ndio barabara zote ziwe rami hebu acha ushamba basi
Nao ni masikini kama Tanzania yaani viongozi wao ni wezi wezi?Nimekaa huko mwaka na miezi 6
Ova
Umeandika kitalaamu snKwa koment zinazo endelea kutolewa na watu humu zinaonesha jinsi nchi hii ilivyo jaa vilaza mbaya zaidi wanajiona wana akili, yaani nchi ina GDP ya $2trion na ushenzi ambayo ni sawa na %70 ya uchumi wote wa Africa alafu anatokea mtu anasema eti ni nchi masikini?
Kama ni miundo mbinu mibovu hata Marekani kumejaa miundo mbinu mibovu na masikini , nchi tajiri za Ulaya na mashariki ya kati kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa kujenga miundo mbinu mizuri kila sehemu kutokana na nchi zao kuwa ndogo kijografia.
Brazil ni kubwa kuizidi Africa mashariki yote.
Hili ni tatizo la vijana wasiosoma na hawajibidiishi kutafuta physical knowledge.Wewe nani alikwambia brazil ni matajiri?
Kwa lipi ?Hili ni tatizo la vijana wasiosoma na hawajibidiishi kutafuta physical knowledge.
Brazil haina tofauti na nchi nyingi Afrika.
GDP haikuelezi lolote kuhusu inequality, income distribution, geographical distribution of the population, priorities za nchi, siasa zake.Kwa koment zinazo endelea kutolewa na watu humu zinaonesha jinsi nchi hii ilivyo jaa vilaza mbaya zaidi wanajiona wana akili, yaani nchi ina GDP ya $2trion na ushenzi ambayo ni sawa na %70 ya uchumi wote wa Africa alafu anatokea mtu anasema eti ni nchi masikini?
Kama ni miundo mbinu mibovu hata Marekani kumejaa miundo mbinu mibovu na masikini , nchi tajiri za Ulaya na mashariki ya kati kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa kujenga miundo mbinu mizuri kila sehemu kutokana na nchi zao kuwa ndogo kijografia.
Brazil ni kubwa kuizidi Africa mashariki yote.
Hata kwenye sekita nyingine bado Brazil wako mbali mno kuanzia Viwanda ,kilimo, teknolojia,hata uchumi wa mtu mmoja mmoja Brazil wamepiga hatua kwa namna fulani.GDP haikuanzishwa iki iwe kipimo cha uchumi, na haipimi uchumi vizuri, watu wameitumia vibaya tu.
Msome mchumi aliyeshinda nishani ya Nobel Joseph Stiglitz kaandika kuhusu hili.
It's time to retire metrics like GDP. They don't measure everything that matters | Joseph Stiglitz
The way we assess economic performance and social progress is fundamentally wrong, and the climate crisis has brought these concerns to the forewww.theguardian.com
View: https://youtu.be/QUaJMNtW6GA?si=qSRNOFVMJKvav-Wq