Kwa koment zinazo endelea kutolewa na watu humu zinaonesha jinsi nchi hii ilivyo jaa vilaza mbaya zaidi wanajiona wana akili, yaani nchi ina GDP ya $2trion na ushenzi ambayo ni sawa na %70 ya uchumi wote wa Africa alafu anatokea mtu anasema eti ni nchi masikini?
Kama ni miundo mbinu mibovu hata Marekani kumejaa miundo mbinu mibovu na masikini , nchi tajiri za Ulaya na mashariki ya kati kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa kujenga miundo mbinu mizuri kila sehemu kutokana na nchi zao kuwa ndogo kijografia.
Brazil ni kubwa kuizidi Africa mashariki yote.