Hii ni Breakfast ya 1500. Akili mtu wangu!

Ni ushauri lakini ukiufuata utakufaa hakikisha katika kila mlo unaokula hasa huu wa asubuhi usile carbohydrates peke yake changanya na protein na vitamin pembeni maana usiku cell zimefanya kazi kuzifanyia repair inabidi upate protein fulani aidha mayai, vipande vya nyama ila mimi napendelea zaidi maharagwe kwanza bei yake nzuri bakuli la Jero Safi kabisa ni protein hata ya siku nzima hiyo.

Sasa unakuta mtu asubuhi anakula Mihogo peke yake au Chai na mandazi peke yake.

Maisha mbona simple tu kwenu nyie Wana jf ila najua kitaa huko kigumu wako watu hata kipande cha muhogo ni kipengele.

View attachment 2957294
Haya Mshukuru mama kwa kukuletea chakula mezani, mi5 tena
 
Sitakaa nikubali mtoto wangu au mjukuu wangu aitwe John
 
kula unavyokula kupata supplements ni lazima kwa sababu vyakula mnavyokula haviwezi kukidhi kiwango cha viinilishe vinavyohitajika mwilini kila siku
Ni ushauri lakini ukiufuata utakufaa hakikisha katika kila mlo unaokula hasa huu wa asubuhi usile carbohydrates peke yake changanya na protein na vitamin pembeni maana usiku cell zimefanya kazi kuzifanyia repair inabidi upate protein fulani aidha mayai, vipande vya nyama ila mimi napendelea zaidi maharagwe kwanza bei yake nzuri bakuli la Jero Safi kabisa ni protein hata ya siku nzima hiyo.

Sasa unakuta mtu asubuhi anakula Mihogo peke yake au Chai na mandazi peke yake.

Maisha mbona simple tu kwenu nyie Wana jf ila najua kitaa huko kigumu wako watu hata kipande cha muhogo ni kipengele.

View attachment 2957294
 
Mimi ninekula chapati 4 na maharage bakuli mbili, jumla 2000
 
Back
Top Bottom