Mbere kwa mbereKipindi cha mtikisiko wa wana mtandao mwaka 2015 ilidhaniwa CCM inakwenda na maji.....
Haikuwa hivyo....alikwenda na maji Lowassa!!
Haikuwa hivyo.....alikwenda na maji Membe........
CCM IPO sana kwa kuwa ni chama cha MAPINDUZI......
Hiyo katiba mpya HAITOKUJA....HAITOKUWEPO....labda kufanyike MAPINDUZI ya kukitoa madarakani chama cha MAPINDUZI .....
Tanzania ni CCM na CCM ni Tanzania.......
Alale salama hayati mama ASHA BAKARI aliyesema "HATUITOI NCHI KWA MAKARATASI" Aaamin Aaaamin!
#SiempreHastaLaVictoriaCCM
#VivaCCM
#AlutaContinua
#KaziInaendelea
Hakuna kitu hapo CCM bado upo saana na utazeeka na kuiacha ikiongoza.Poleni UVCCM, Poleni sana!
Poleni LMB7, Poleni sana!
Poleni MATAGA, Poleni sana!
Poleni CHAWA wote, Poleni sana!
Hii ni CCM toleo la nne na kimsingi ndio toleo la mwisho, hakuna CCM nyingine baada ya hii!
Toleo la kwamza lilikuwa CCM asili ya Mwalimu Nyerere muasisi na rais wa kwanza wa Tanzania..hapa hata CCM ya Mzee mwinyi rais wa pili wa Tanzania iko bado kwenye kundi hili la CCM toleo la kwanza
Toleo la pili lilikuwa CCM maslahi. Waasisi wa hili kundi ni marais Benjamin mkapa marehemu na Jakaya Kikwete mstaafu..hapa kigezo kikubwa ni mali, kipato na madaraka. Hapa ndio vijana wa UVCCM maarufu kama LMB7 sana walipata umaarufu na nguvu kubwa..kwakuwa CCM maslahi waliwatumia vilivyo.
Toleo la tatu ni CCM makinikia. Muasisi wake akiwa ni marehemu John Pombe Magufuli..hawa walichujwa toka CCM asili na CCM maslahi, kisha akachanganya na wahamiaji wa kutosha sana!
Toleo la NNE ni CCM toleo la mwisho; ni CCM inayomezwa na wahamiaji wa kutosha na wasio na background na chama!
Simlaumu Mama Samia kwa hatua hii. CCM aliyorithi toka kwa mwanakwenda ilijaa chawa, wanafiki, watengeneza hujuma na kundi maarufu la MATAGA chini ya mwamvuli wa UVCCM/LMB7.
Hawa hawakuridhishwa na siasa za maridhiano za mama. Hawa hawakufurahishwa kabisa na hatua alizochukua mama kuwapeleka kizimbani makada maarufu wavunja sheria, haki za binadamu, waporaji na wala rushwa.
Hawa daily kwenye makundi yao, mitandaoni na kwenye vikao vyao hawakukoma kumkosoa bimkubwa na kumsema vibaya
Walichokisahau ni kimoja tuu kwamba wao wameshika makali na bimkubwa kashika mpini.
Teuzi mpya muhimu sana za wakuu wa wilaya zimesafisha karibia mabaki yote ya UVCCM, MATAGA NA LMB7. Ni kilio huko kwao. Ni msiba usio na matanga, wamenuna na kukunja sura. Hawaamini mama alichowafanyia!
Na hii ndio CCM toleo la mwisho. Baada ya hii hakuna CCM tena!
Ukipenda waeza hifadhi hii post kwa matumizi ya baadae!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndiyo listi ya wakurugenzi sasa. Just hold on, utaona.Lisit ni ndefu
1.Kipara kipya
2. Stroke
3. Magonjwa mtambuka
4. Streinght
5. TrollJF
6. Butannica
7.Mama D
8. Cocochanel
9. Mudawote
10.pascal mayalla
12. countrywide
13......etc
Genius Mshana ujue CCM ni bahari.....CCM ni familia ambayo ina wanafemili wenye TABIA NA HULKA tofauti.......Mbere kwa mbereView attachment 1824458
🤣🤣🤣👍👍💪💪Hii ndiyo listi ya wakurugenzi sasa. Just hold on, utaona.
Kigumu chama cha mapinduzi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Genius Mshana ujue CCM ni bahari.....CCM ni familia ambayo ina wanafemili wenye TABIA NA HULKA tofauti.......
Sote sisi ni famili.....
Sote sisi tunahitajiana.....
Hata wale dhaifu wanatusaidia KIUSHAWISHI....hasa penye ugumu.....
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI aamin aaaamin[emoji120]
#KaziIendelee
Sawa kaka wewe ni mtabiri mzuri,ñadhañi kazi ya uganga wa kieñyeji itakufaa sana kaka yangu, na kuloga unàweza kaka hongera!Poleni UVCCM, Poleni sana!
Poleni LMB7, Poleni sana!
Poleni MATAGA, Poleni sana!
Poleni CHAWA wote, Poleni sana!
Hii ni CCM toleo la nne na kimsingi ndio toleo la mwisho, hakuna CCM nyingine baada ya hii!
Toleo la kwamza lilikuwa CCM asili ya Mwalimu Nyerere muasisi na rais wa kwanza wa Tanzania..hapa hata CCM ya Mzee mwinyi rais wa pili wa Tanzania iko bado kwenye kundi hili la CCM toleo la kwanza
Toleo la pili lilikuwa CCM maslahi. Waasisi wa hili kundi ni marais Benjamin mkapa marehemu na Jakaya Kikwete mstaafu..hapa kigezo kikubwa ni mali, kipato na madaraka. Hapa ndio vijana wa UVCCM maarufu kama LMB7 sana walipata umaarufu na nguvu kubwa..kwakuwa CCM maslahi waliwatumia vilivyo.
Toleo la tatu ni CCM makinikia. Muasisi wake akiwa ni marehemu John Pombe Magufuli..hawa walichujwa toka CCM asili na CCM maslahi, kisha akachanganya na wahamiaji wa kutosha sana!
Toleo la NNE ni CCM toleo la mwisho; ni CCM inayomezwa na wahamiaji wa kutosha na wasio na background na chama!
Simlaumu Mama Samia kwa hatua hii. CCM aliyorithi toka kwa mwanakwenda ilijaa chawa, wanafiki, watengeneza hujuma na kundi maarufu la MATAGA chini ya mwamvuli wa UVCCM/LMB7.
Hawa hawakuridhishwa na siasa za maridhiano za mama. Hawa hawakufurahishwa kabisa na hatua alizochukua mama kuwapeleka kizimbani makada maarufu wavunja sheria, haki za binadamu, waporaji na wala rushwa.
Hawa daily kwenye makundi yao, mitandaoni na kwenye vikao vyao hawakukoma kumkosoa bimkubwa na kumsema vibaya
Walichokisahau ni kimoja tuu kwamba wao wameshika makali na bimkubwa kashika mpini.
Teuzi mpya muhimu sana za wakuu wa wilaya zimesafisha karibia mabaki yote ya UVCCM, MATAGA NA LMB7. Ni kilio huko kwao. Ni msiba usio na matanga, wamenuna na kukunja sura. Hawaamini mama alichowafanyia!
Na hii ndio CCM toleo la mwisho. Baada ya hii hakuna CCM tena!
Ukipenda waeza hifadhi hii post kwa matumizi ya baadae!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangia jana sijamuona umu jamii forum sijui kajiua.Kuna watu wanapambana sana kwa ajili yao lakini wao wanambulia vumbi tu,hii siyo haki
Mfano mtu kama Elitwege
Anapambana hadi anatoka na makamasi+povu
Ova
Wanakata tamaa aiseTangia jana sijamuona umu jamii forum sijui kajiua.
🤣🤣🤣Kigumu chama cha mapinduzi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu hii si ndio CCM muliyoshangilia baada ya kuondoka mwendazake, mkawa mnajaza server za JF kwa ajili ya kumsifia mama na teuzi zake na jinsi anavyoendesha mambo, leo kulikoni tena au ni akina Mashinji, Lijuakali ndio chanzo chote cha hasira zenu, mama safi sana, mama juu. Hasira za wivu hizo mkuu. Kwa kifupi tu sioni mwisho wa CCM, mwisho kwa chama gani cha upinzani? na viongozi wapi wa upinzani?Poleni UVCCM, Poleni sana!
Poleni LMB7, Poleni sana!
Poleni MATAGA, Poleni sana!
Poleni CHAWA wote, Poleni sana!
Hii ni CCM toleo la nne na kimsingi ndio toleo la mwisho, hakuna CCM nyingine baada ya hii!
Toleo la kwamza lilikuwa CCM asili ya Mwalimu Nyerere muasisi na rais wa kwanza wa Tanzania..hapa hata CCM ya Mzee mwinyi rais wa pili wa Tanzania iko bado kwenye kundi hili la CCM toleo la kwanza
Toleo la pili lilikuwa CCM maslahi. Waasisi wa hili kundi ni marais Benjamin mkapa marehemu na Jakaya Kikwete mstaafu..hapa kigezo kikubwa ni mali, kipato na madaraka. Hapa ndio vijana wa UVCCM maarufu kama LMB7 sana walipata umaarufu na nguvu kubwa..kwakuwa CCM maslahi waliwatumia vilivyo.
Toleo la tatu ni CCM makinikia. Muasisi wake akiwa ni marehemu John Pombe Magufuli..hawa walichujwa toka CCM asili na CCM maslahi, kisha akachanganya na wahamiaji wa kutosha sana!
Toleo la NNE ni CCM toleo la mwisho; ni CCM inayomezwa na wahamiaji wa kutosha na wasio na background na chama!
Simlaumu Mama Samia kwa hatua hii. CCM aliyorithi toka kwa mwanakwenda ilijaa chawa, wanafiki, watengeneza hujuma na kundi maarufu la MATAGA chini ya mwamvuli wa UVCCM/LMB7.
Hawa hawakuridhishwa na siasa za maridhiano za mama. Hawa hawakufurahishwa kabisa na hatua alizochukua mama kuwapeleka kizimbani makada maarufu wavunja sheria, haki za binadamu, waporaji na wala rushwa.
Hawa daily kwenye makundi yao, mitandaoni na kwenye vikao vyao hawakukoma kumkosoa bimkubwa na kumsema vibaya
Walichokisahau ni kimoja tuu kwamba wao wameshika makali na bimkubwa kashika mpini.
Teuzi mpya muhimu sana za wakuu wa wilaya zimesafisha karibia mabaki yote ya UVCCM, MATAGA NA LMB7. Ni kilio huko kwao. Ni msiba usio na matanga, wamenuna na kukunja sura. Hawaamini mama alichowafanyia!
Na hii ndio CCM toleo la mwisho. Baada ya hii hakuna CCM tena!
Ukipenda waeza hifadhi hii post kwa matumizi ya baadae!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo la heri. Ni bora watoto wa kambo wanaokuheshimu kuliko watoto wa kuzaa mwenyewe ambao hawana adabu.
Jifunze kiswahili fasaha kwanza. Haya maneno uliyoandika ni kutoka lugha gani? MLEFU.....MALA.....Nyakati za CCM zinafika tamati muda sio mlefu ambapo watanzania kwa mala ya kwanza watapata kiongozi wa kuwaletea MAENDELEO ya kweli.
We ni taga tu...huna lolote la maana.Muda ni mwalim na ipo siku utajua nini namaanisha
Yaani hizi ramli njaa hamchoki kuziandika kila awamuHuyu Mama atapigwa uchaguzi asubuhi na mapema sana mwaka 2025 sio kwa chuki au kufanya vibaya Bali kwa falsafa ya mwanadamu ya ccm kuchokwa kama chama cha siasa chakavu zaidi Tanzania na Africa
Atashindwa uchaguzi asubuhi na mapema sana kwa jinsi anavyoenda ni kitu kimoja tu kinaenda kumuangusha nacho ni katiba mpya.
Ogopa sana zimwi na kuchakachua uchaguzi mwaka Jana hili zimwi ni hatari sana ndani ya watu uchaguzi ule uliacha makovu mengi na mama anajua Magufuli hakushinda na yeye yupo hapo kwa dhuruma ya utawala wa dicteta hakuna jambo kubwa kama Katiba na tume huru ya uchaguzi atalifanya na kufanikiwa kila akitaka kufanya maccm yatamwambia sisi ndio tumekuweka hapo tunataka ufanye ili na ili usifanye.
Atashutuka muda unaisha na hakuna atakachokifanya by 2025 hapo ndio upepo wa siasa za Tanzania utakapobadilika maana kutakuwa hakuna tena watu kutekwa kuchezea uchaguzi na watanzania watakuwa hawana cha kupoteza maana tatizo la Ajira mifumo ya elimu na mateso mengine ya kukatika kwa umeme na maji watakuwa na hasira navyo hivyo mambo yatakuwa magumu kwa mama na automatic kwa ccm.