Hii ni CCM toleo la 4 na la mwisho; hakuna CCM nyingine baada ya hii!

Chadema huwa wanachezeshwa na ccm politics
 
Jifunze kiswahili fasaha kwanza. Haya maneno uliyoandika ni kutoka lugha gani? MLEFU.....MALA.....

Baada ya kujifunza...anza kupata sasa hiyo ndoto yako kwa kuwa CCM bado ipoipo.
Sawa ngoja nijifunze kiswahili fasaha bosi wangu
 
CCM inaenda kuongozwa na Kina Nassary, Mashinji, Lijuakali, Msando, Nick wapili, Jerry Muro na wahamiaji haramu kibao...
@BiaYetu
@Kawealumni
Crimea
Lizaboni
@Faixafoxy
Elitwege
Bashite
N.k wanaenda kuwa wapenzi watazamaji.
Bila kuwasahau mataga wakuu , Pascal Mayala , johnthebaptist, magonjwa mtambuka , Crimea , Stroke , Mama D , mpaka huruma .
 
Umejiuliza:
-Upinzani ni nini?
-Wapinzani walikuwa akina nani,wako wapi wengine?
-Inapokuja dhana ya kuondolewa CcM madarakani kinakujia nini kichwani?
Umeelewa kilichoandikwa kweli mkuu?
Upinzani ni upinzani. Hizo nyingine mbwembwe tu.
 
Kama Mbowe tu mmemshindwa; CCM ndiyo mtaiweza!!?
 
Sasa CCM yenyewe imeshikwa na wapinzani, unataka hao wapinzani waitoa kwa sababu gani?

Kama wao ndo wameshika hatamu ya chama unataka wapambane nayo tena?
Mbowe amehamia lini CCM?
 
Kama hujaelewa kilichoandikwa uliza ueleweshwe ama rudia kusoma kabla hujachangia
 
Ni jambo la heri. Ni bora watoto wa kambo wanaokuheshimu kuliko watoto wa kuzaa mwenyewe ambao hawana adabu.[emoji736][emoji817]
Hawa hapa!
Your browser is not able to display this video.
 
Soma mada uelewe; upinzani bado sana.
 
CCM ilishakufa kitambo tu ila inaongoza kwa nguvu ya dola tu,tangu mwaka2010 CCM haikuwahi kushinda uchaguzi ngazi ya rais bara na visiwani. Leo hii dola nayo imestukiwa na janja za kuiba kura nazo ni bayana ivyo hakuna mbinu nyingine tena. Na hili wimbi la madai ya katiba mpya ndo kaburi la kumzika marehemu CCM. Ni lazima azikwe maana harufu ya mzoka wake sasa ni dhahiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…