Hii ni dawa ya nini?

Kiongozi hii sio arv lakini
 
Dokta asante sanaaa asee yaan daah nimeogopa sana
 
Sasa kiongozi mwanamke akiwa nayoo ina maan gani
Ina maana ni dawa ya kufifiza virusi vya ukimwi kama haujamwa ukimwi Kamili au ni Kinga dhidi ya HIV kama ukiwa na wasiwasi huenda umepata?.

Nifafanulieni hapo.

Maana tulisomaga Kuna HIV na kuna AIDS

Unaweza kuwa na HIV Lakini usiwe na AIDS. yaani unakuwa na virusi visababishwavyo ukimwi lakini Bado havifikia level ya kuwa Ukimwi Kamili.
 
Ok
 
Watu wa Afya wanabidi wawe karibu nawe wakupime waone namna gani uanze matibabu ikiwa utangundulika una HIV .. waanze Follow up
Aseee nitaenda kupima kwakweli
 

HIV ni Virusi .. ni mojawapo ya aina ya Virusi vinavyopelekea Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI) .. ukigundulika unavirusi hivyo kinachofuata ni kukuwahi mapema ili Virusi hivyo visipate nguvu ya kutosha kushambulia Seli Kinga za mwili wako ambazo zinasaidia kupambana na magonjwa nyemelezi ikiwa utashindwa kutumia Dawa za kuwapunguza nguvu hao Virusi basi mwili wako utakuwa Rahisi kushambuliwa na kila aina ya magonjwa ndio maana tunasema una UKIMWI (Upungufu wa Kinga Mwilini).
 
Ok sawa
 
Ahaa Sawa, kwahy hizo dawa kazi yake ni kufifiza virusi vya ukimwi!?.
 
Aseee nitaenda kupima kwakweli
Mara nyingi ni kuanzia miezi 3 ndio unaweza kuviona.. ikiwa huyo mdada atakuwa anatumia dawa vizuri Kuna uwezekano akawa ametoka kwenye stage ya kuambukiza mtu mwingine unaweza ukapima na usiwe umeambukizwa..

Kuna stage ukilala na mtu mwenye maambukizi huwezi kupata maambukizi maana wale wadudu wanakuwa wameshaounguzwa nguvu saaanaa.. hii mara nyingi hutokea kwa wale Ambao wametumia sawa vizuri kwa muda mrefu.

Na sex ilifanyika kiustaarabu
 
Huyuuu dada yeye nimemuuliza akasema ety sijuii ni dawa za mtu akibakwa anapewaa kiufupi sijamuelewa na nimesex nae kavuu mara 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…