DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi hii sio arv lakiniAliyeuliza anajua Ni dawa ya nini Ila anatukebehi Tu 🤣🤣
Japo Asikariri si Kila mwenye Dawa hiyo anaHIV...
Huku Kwenye CTC zetu Tumezoea Kuiita TRUVADA..
Ila Jina lake Halisia Ni Tenofovir + Emtricitabine..
Hutumika Pia Kutibu HBV na HCV japo Sio standard yake..
ila Inaweza Kutumika kama Preventive measure ya HIV kama Pre exposure prophylaxis au Post Exposure prophylaxis yaani PrEP au PEP..
Ila angalizo kama Ni mpenzi wake na Hajapima Naye magonjwa ya Zinaa wala HIV ni Vyema wakapime Maaana Hiyo Dawa ni 2nd Line Treatment of HIV Vurus Baada ya TLD kufail..(Maana Kwa Umri najua Hawezi kuwa Mtoto)..
So Kama ni 2nd Line means 1st line Ilifail swali ni kuwa Why Regime ya kwanza Ilifail..
Mimi na wewe hatujui..Ila kama Itakupendeza Kaa na Mpenzi wako Mshaurine na Ikiwezekana mjengee Imani ya kukuamini kukwambia ili mambo yasiwe mengi na amabaya zaidi
CC: mshamba_hachekwi
Sasa kiongozi mwanamke akiwa nayoo ina maan ganiSoma Post #35
CC: mshamba_hachekwi
Hatimae kapata jibu alilokuwa anatafuta
Dokta asante sanaaa asee yaan daah nimeogopa sanaAliyeuliza anajua Ni dawa ya nini Ila anatukebehi Tu 🤣🤣
Japo Asikariri si Kila mwenye Dawa hiyo anaHIV...
Huku Kwenye CTC zetu Tumezoea Kuiita TRUVADA..
Ila Jina lake Halisia Ni Tenofovir + Emtricitabine..
Hutumika Pia Kutibu HBV na HCV japo Sio standard yake..
ila Inaweza Kutumika kama Preventive measure ya HIV kama Pre exposure prophylaxis au Post Exposure prophylaxis yaani PrEP au PEP..
Ila angalizo kama Ni mpenzi wake na Hajapima Naye magonjwa ya Zinaa wala HIV ni Vyema wakapime Maaana Hiyo Dawa ni 2nd Line Treatment of HIV Vurus Baada ya TLD kufail..(Maana Kwa Umri najua Hawezi kuwa Mtoto)..
So Kama ni 2nd Line means 1st line Ilifail swali ni kuwa Why Regime ya kwanza Ilifail..
Mimi na wewe hatujui..Ila kama Itakupendeza Kaa na Mpenzi wako Mshaurine na Ikiwezekana mjengee Imani ya kukuamini kukwambia ili mambo yasiwe mengi na amabaya zaidi
CC: mshamba_hachekwi
Megawati 8000HIV mkuu
Ina maana ni dawa ya kufifiza virusi vya ukimwi kama haujamwa ukimwi Kamili au ni Kinga dhidi ya HIV kama ukiwa na wasiwasi huenda umepata?.Sasa kiongozi mwanamke akiwa nayoo ina maan gani
Transformer kalikumbatiaR I P
OkIna maana ni dawa ya kufifiza virusi vya ukimwi kama haujamwa ukimwi Kamili au ni Kinga dhidi ya HIV kama ukiwa na wasiwasi huenda umepata?.
Nifafanulieni hapo.
Maana tulisomaga Kuna HIV na kuna AIDS
Unaweza kuwa na HIV Lakini usiwe na AIDS. yaani unakuwa na virusi visababishwavyo ukimwi lakini Bado havifikia level ya kuwa Ukimwi Kamili.
Ina maana ni dawa ya kufifiza virusi vya ukimwi kama haujamwa ukimwi Kamili!?, Maana tulisomaga Kuna HIV na kuna AIDS
Unaweza kuwa na HIV Lakini usiwe na AIDS. yaani unakuwa na virusi visababishwavyo ukimwi lakini Bado havifikia level ya kuwa Ukimwi Kamili.
Ok sawaHIV ni Virusi .. ni mojawapo ya aina ya Virusi vinavyopelekea Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI) .. ukigundulika unavirusi hivyo kinachofuata ni kukuwahi mapema ili Virusi hivyo visipate nguvu ya kutosha kushambulia Sesawali Kinga za mwili wako ambazo zinasaidia kupambana na magonjwa nyemelezi ikiwa utashindwa kutumia Dawa za kuwapunguza nguvu hao Virusi basi mwili wako utakuwa Rsawaahisi kushambuliwa na kila aina ya magonjwa ndio maana tunasema una UKIMWI (Upungufu wa Kinga Mwilini).
Ahaa Sawa, kwahy hizo dawa kazi yake ni kufifiza virusi vya ukimwi!?.HIV ni Virusi .. ni mojawapo ya aina ya Virusi vinavyopelekea Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI) .. ukigundulika unavirusi hivyo kinachofuata ni kukuwahi mapema ili Virusi hivyo visipate nguvu ya kutosha kushambulia Seli Kinga za mwili wako ambazo zinasaidia kupambana na magonjwa nyemelezi ikiwa utashindwa kutumia Dawa za kuwapunguza nguvu hao Virusi basi mwili wako utakuwa Rahisi kushambuliwa na kila aina ya magonjwa ndio maana tunasema una UKIMWI (Upungufu wa Kinga Mwilini).
Mara nyingi ni kuanzia miezi 3 ndio unaweza kuviona.. ikiwa huyo mdada atakuwa anatumia dawa vizuri Kuna uwezekano akawa ametoka kwenye stage ya kuambukiza mtu mwingine unaweza ukapima na usiwe umeambukizwa..Aseee nitaenda kupima kwakweli
Ni paracetamol wasikutisheKiongozi hii sio arv lakini
Ndio.. ili kusaidia wasiweze kushambulia seli Kinga za mwili..Ahaa Sawa, kwahy hizo dawa kazi yake ni kufifiza virusi vya ukimwi!?.
Huyuuu dada yeye nimemuuliza akasema ety sijuii ni dawa za mtu akibakwa anapewaa kiufupi sijamuelewa na nimesex nae kavuu mara 4Mara nyingi ni kuanzia miezi 3 ndio unaweza kuviona.. ikiwa huyo mdada atakuwa anatumia dawa vizuri Kuna uwezekano akawa ametoka kwenye stage ya kuambukiza mtu mwingine unaweza ukapima na usiwe umeambukizwa..
Kuna stage ukilala na mtu mwenye maambukizi huwezi kupata maambukizi maana wale wadudu wanakuwa wameshaounguzwa nguvu saaanaa..