Hii ni dawa ya nini?

Hii ni dawa ya nini?

Aliyeuliza anajua Ni dawa ya nini Ila anatukebehi Tu 🤣🤣

Japo Asikariri si Kila mwenye Dawa hiyo anaHIV...
Huku Kwenye CTC zetu Tumezoea Kuiita TRUVADA..

Ila Jina lake Halisia Ni Tenofovir + Emtricitabine..
Hutumika Pia Kutibu HBV na HCV japo Sio standard yake..
ila Inaweza Kutumika kama Preventive measure ya HIV kama Pre exposure prophylaxis au Post Exposure prophylaxis yaani PrEP au PEP..

Ila angalizo kama Ni mpenzi wake na Hajapima Naye magonjwa ya Zinaa wala HIV ni Vyema wakapime Maaana Hiyo Dawa ni 2nd Line Treatment of HIV Vurus Baada ya TLD kufail..(Maana Kwa Umri najua Hawezi kuwa Mtoto)..

So Kama ni 2nd Line means 1st line Ilifail swali ni kuwa Why Regime ya kwanza Ilifail..

Mimi na wewe hatujui..Ila kama Itakupendeza Kaa na Mpenzi wako Mshaurine na Ikiwezekana mjengee Imani ya kukuamini kukwambia ili mambo yasiwe mengi na amabaya zaidi

CC: mshamba_hachekwi
Kiongozi hii sio arv lakini
 
Dokta asante sanaaa asee yaan daah nimeogopa sana
 
Sasa kiongozi mwanamke akiwa nayoo ina maan gani
Ina maana ni dawa ya kufifiza virusi vya ukimwi kama haujamwa ukimwi Kamili au ni Kinga dhidi ya HIV kama ukiwa na wasiwasi huenda umepata?.

Nifafanulieni hapo.

Maana tulisomaga Kuna HIV na kuna AIDS

Unaweza kuwa na HIV Lakini usiwe na AIDS. yaani unakuwa na virusi visababishwavyo ukimwi lakini Bado havifikia level ya kuwa Ukimwi Kamili.
 
Ok
 
Ina maana ni dawa ya kufifiza virusi vya ukimwi kama haujamwa ukimwi Kamili!?, Maana tulisomaga Kuna HIV na kuna AIDS

Unaweza kuwa na HIV Lakini usiwe na AIDS. yaani unakuwa na virusi visababishwavyo ukimwi lakini Bado havifikia level ya kuwa Ukimwi Kamili.

HIV ni Virusi .. ni mojawapo ya aina ya Virusi vinavyopelekea Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI) .. ukigundulika unavirusi hivyo kinachofuata ni kukuwahi mapema ili Virusi hivyo visipate nguvu ya kutosha kushambulia Seli Kinga za mwili wako ambazo zinasaidia kupambana na magonjwa nyemelezi ikiwa utashindwa kutumia Dawa za kuwapunguza nguvu hao Virusi basi mwili wako utakuwa Rahisi kushambuliwa na kila aina ya magonjwa ndio maana tunasema una UKIMWI (Upungufu wa Kinga Mwilini).
 
HIV ni Virusi .. ni mojawapo ya aina ya Virusi vinavyopelekea Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI) .. ukigundulika unavirusi hivyo kinachofuata ni kukuwahi mapema ili Virusi hivyo visipate nguvu ya kutosha kushambulia Sesawali Kinga za mwili wako ambazo zinasaidia kupambana na magonjwa nyemelezi ikiwa utashindwa kutumia Dawa za kuwapunguza nguvu hao Virusi basi mwili wako utakuwa Rsawaahisi kushambuliwa na kila aina ya magonjwa ndio maana tunasema una UKIMWI (Upungufu wa Kinga Mwilini).
Ok sawa
 
HIV ni Virusi .. ni mojawapo ya aina ya Virusi vinavyopelekea Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI) .. ukigundulika unavirusi hivyo kinachofuata ni kukuwahi mapema ili Virusi hivyo visipate nguvu ya kutosha kushambulia Seli Kinga za mwili wako ambazo zinasaidia kupambana na magonjwa nyemelezi ikiwa utashindwa kutumia Dawa za kuwapunguza nguvu hao Virusi basi mwili wako utakuwa Rahisi kushambuliwa na kila aina ya magonjwa ndio maana tunasema una UKIMWI (Upungufu wa Kinga Mwilini).
Ahaa Sawa, kwahy hizo dawa kazi yake ni kufifiza virusi vya ukimwi!?.
 
Aseee nitaenda kupima kwakweli
Mara nyingi ni kuanzia miezi 3 ndio unaweza kuviona.. ikiwa huyo mdada atakuwa anatumia dawa vizuri Kuna uwezekano akawa ametoka kwenye stage ya kuambukiza mtu mwingine unaweza ukapima na usiwe umeambukizwa..

Kuna stage ukilala na mtu mwenye maambukizi huwezi kupata maambukizi maana wale wadudu wanakuwa wameshaounguzwa nguvu saaanaa.. hii mara nyingi hutokea kwa wale Ambao wametumia sawa vizuri kwa muda mrefu.

Na sex ilifanyika kiustaarabu
 
Mara nyingi ni kuanzia miezi 3 ndio unaweza kuviona.. ikiwa huyo mdada atakuwa anatumia dawa vizuri Kuna uwezekano akawa ametoka kwenye stage ya kuambukiza mtu mwingine unaweza ukapima na usiwe umeambukizwa..

Kuna stage ukilala na mtu mwenye maambukizi huwezi kupata maambukizi maana wale wadudu wanakuwa wameshaounguzwa nguvu saaanaa..
Huyuuu dada yeye nimemuuliza akasema ety sijuii ni dawa za mtu akibakwa anapewaa kiufupi sijamuelewa na nimesex nae kavuu mara 4
 
Back
Top Bottom