Hii ni dawa ya nini?

Daaaah kumamake huyuu demu kAniua daaaah
Hapana usiwe na wasiwasi Kuna uwezekano akawa hajakuambukiza .. ikiwa dawa alikua anatumia vizuri na kwa muda mrefu bila kusuasua
 
Huyuuu dada yeye nimemuuliza akasema ety sijuii ni dawa za mtu akibakwa anapewaa kiufupi sijamuelewa na nimesex nae kavuu mara 4
Amekuambia kinamna ya kukueleza hizo ni PEP ..

Ambazo hupewa mtu ikiwa anahisi yupo katika hatari ya maambukizi . Ambayo huanza kutumia Dawa ndani ya masaa 72 tangu akutane na hiyo hali.. atatumia kwa siku 28 kisha atasubiri miezi 2 mbele ifike 3 ili apime aone kama vimemsaidia kutopana..

Dozi yake Huwa ni kidonge kimoja kila siku
 
Sasa kiongozi mwanamke akiwa nayoo ina maan gani
Ina maana nyingi Huenda alipata Exposure au Kuna Vitu vingi sana Siwezi kutoa Utabiri ndo maana Nikasema kaa naye chini kwa upole kabisa muulize atakuambia tu
 
Hapoo nimeeelewa mshezi yule kudadeki zake ndio maana akakataaa kupima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…