Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Mbona SIJAONGEA.Nimeandika.Cheti chako cha ufaulu ukifuate hapa Milembe.Mimi ndiyo Dean!๐๐๐๐Kaa kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona SIJAONGEA.Nimeandika.Cheti chako cha ufaulu ukifuate hapa Milembe.Mimi ndiyo Dean!๐๐๐๐Kaa kimya
Adui mwombee njaa. Ndugai mwenyewe alikuwa anataka kuwaia chadema wote. Sasa kwa Nini sisi tusimwombee kifo
Vyote sio sawa.. hakuna legitimacy, ya kumuombea mtu kifo.Anayeombea watu kifo na anayetuma watu kuua wenzake nafuu nani?
Kifo ni faida mkuu. Hata mi niombee kifo nitafurahi Mana naenda kwa aliyeniumba ambako hamna mmbu. Huku mbu wananisumbua sanaMistari ya kuombea watu kifo?
Kwani maneno ya Lema ni msimamo wa chama?Chadema ni watu na viongozi wao ni akina Lema.
Wewe masikini huwezi kupambana na Chadema ukabaki salama , utakwisha haraka sana .
Jiwe aliambiwa na Nabii Lema atakufa , Je kulitokea nini ?Kama kwenye kazi yake ya wizi wa magari hakufa, anamuombea nani kifo
Kwa hiyo kisa Lema katoa mawazo yake ni kwa kuwa ni kiongozi wa Chadema ndo inakua msimamo wa Chama?Chadema ni watu na viongozi wao ni akina Lema.
Watu kama wewe huna sababu ya kuombewa wema
Nyie mnavyo waombea mabaya wana cdm mbona hatujawahi kuwalilia kama nyie mnavyo lilia ?Hii siyo nzuri kabisa!
Dawa ya moto ni moto namuunga sana mkono mh LemaLema ni Mchaga mwenzangu ila kuna mambo huwa simkubali huyu mtu..
Mambo ya kumtabiria mwenzako kifo sijapenda.
Ila na wewe mtoa mada, jifunze kutofautisha msimamo wa Lema na msimamo wa chama chake. Hapo na wewe umekosea.. usiipake Chadema matope kwa maneno ya mtu mmoja.
Kuna wengine mlikuwa mnaona kama malaika wenu hapa duniani lkn leo hii wapo chini ya futi 6.Kama kwenye kazi yake ya wizi wa magari hakufa, anamuombea nani kifo
I hate CCMNzuri kabisa ni hii ya kulaghai na kutapeli wananchi?
Kwenye kampeni๐๐๐๐View attachment 2072389Baadaa ya kuingia Ikulu๐๐๐๐View attachment 2072391
Upo sahihiMatendo Ndugai aliyofanyia wenzie hususan wapinzani ni mazito kiasi kwamba hayaelezeki!
Wameanza kulialia hovyo wakati wenyewe ndiyo wachawi wenyeweHii tabia ya ku-twist mambo na kuyaweka mnavyotaka imekomaa mno! Mlianza kuwatuhumu wapinzani kuwa wanatukana tu hawana hoja wakati ccm na watu wake hawajawahi kuwa na hoja yoyote ya maana zaidi ya matusi!
Hivi hapo kuna maonyo na maelekezo au kuna maombi?!
Hayo sio maombi,Huo ni unabii,Ni jambo ambalo lipo mbele yake,lazima litokee na kama hatamtafuta Lema kujua Mungu ana ujumbe gani basi ajiandae
Hata Sabaya aliambiwa akadhani utani ,Mwendazake ndio aliambiwa mapema zaidi akashupaza shingo na kuamuru afungwe,yakamkuta yakumkuta