Hii ni Experience yangu niliyoipata kwa Mwanamke Mwembamba

Niko kwenye ndoa for 10yrs Mzee Wangu [emoji3][emoji3]halafu Nimeona waifu kwanza kunenepa nimemwambia Huko unakoelekea siko kacheka Tu.
.
Mke Wa Home unapiga Bao 2 za Hekaheka Ila Demu Mpya unapiga Hata Bao 3-6 then unapiga na morning glory Moko Maisha yanaenda.
.
Sitaki kuwa na Demu Kwa Mda Mrefu, napiga mara3 then nahepa, maana nikimzoea Tu Hamu inaisha Na Nakuwa Sina mzuka nae Tena
Wahenga hatari sana, 10 years ya ndoa dah mmeshapitia ups and downs za kutosha sema punguza speed mkeo haki yake umpatie, ikiwezekana mpigishe mazoezi akakate mafuta ili awe kimodo kama wengine ujishindie, cha nje uwe nae mmoja tu kwa usalama mzee maradhi ni mengi sahivi
 
Mzee kwani unaogopa maradhi? Au Hii Dunia umekuja Kuishi Milele Wa Kwetu? [emoji3][emoji3].
.
Atapiga Mazoezi Ila Ujinga wa Kunambia sjui aende gym sitaki kusikia ***** [emoji21][emoji21]
 
Kweli kabisa
Hasa ye anapiga ,anasepa anatafuta mwingine sio sawa,tulia tu na mmoja, awe km kaka angu DeepPond
Ametulia zake na mmoja tu mama j[emoji3]
 
Mzee kwani unaogopa maradhi? Au Hii Dunia umekuja Kuishi Milele Wa Kwetu? [emoji3][emoji3].
.
Atapiga Mazoezi Ila Ujinga wa Kunambia sjui aende gym sitaki kusikia ***** [emoji21][emoji21]
Bora ufe kama nzi, ufie kwenye kidonda hizi kauli za wahuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
unajibu kwa kejeli kweli utafkir wanawake wote wako yan we kazana kuwaz hayo wkt akna elon musk wanawaza kwenda mars kweli bongo wajinga wengi
Wewe unaewaza kwenda Jupiter mmefikia hatua gani na wanasayansi wenzako!
 
I just love thick and chubby girls

Please vimbambau mnisamehe i don't feel u .
 
Ukinipenda na kunijali natulia sina purukushan mie
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Mhmhh, mimi napenda stress zinanipa wakati mgumu ila zinanijenga na penzi linachanua zaidi, unipe stress na akili inake
 
Unajua hakuna mahusiano yasiyo na mabalaa sasa itategemea mabalaa yapi[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom