Hii ni hujuma? Siku moja baada ya bwawa la JNHHP kuzinduliwa umeme unakatika

Hii ni hujuma? Siku moja baada ya bwawa la JNHHP kuzinduliwa umeme unakatika

Tangu saa kumi mpaka sasa tunasubiri kuangalia mechi kati ya Azam na Pamba Jiji.

Umeme umekatika nchi nzima. Habari tulizoambia kuna mega watt 2115 ni kama kupiga ndulu tu.
Sio nchi nzima. Kwangu toka asubuhi nina umeme mkuu.
 
Anatia huruma, huyu dawa yake hakuna kufuta pm yake, mimi kuna mmoja sijafuta tangu mwaka jana anabadili user name kama kichaa naziona pale akibadili anaanzisha uzi anaomba tena 😂
Alinifanya nianze kumfatilia,
Akarudi pm chapu kufuta namba, akasahau kuwa wengine tuko mbele ya muda.
 
Labda kuna Mambo ya kitaalamu yanabadilishwa ,tuwe wavumilivu kuliko kukimbilia kuweka hisia zisizo na ushahidi
 
Back
Top Bottom